mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnajipooza kwa kuisema Yanga?Palipo na Simba Yanga haikosekani..sasa ww Yanga umekuja kufanya nini hapa wakati mechi ni ya Simba??mtanii wacha tuinjoyy
Na amejuwa kuwaweza aisee. Hampumui daile anawapa dozi tuJamani tumepata Chawaaa...chawa na msemaji wa Simba JF utopolo og
Hayawahusu ya Simba acheni kujiumiza mkuu...sisi tunaenjoy na timu yetu mbona kama maumivu mnayasikia sana nyie?? Wait and see...nyie jiandaeni na shirikisho muda unaisha hahaha[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnajipooza kwa kuisema Yanga?
Eti kocha wenu anasema anasuka kikosi[emoji1787][emoji1787]
Hivi ni lini mtaacha kuishi kwa matumaini kama wagonjwa wa ukimwi?
Ila mm nampenda mtani anatupa updates wana Simba yani humu hatupoi hatuboi mnalishwa mafaili ya Simba na mwana Yanga... π π π πNa amejuwa kuwaweza aisee. Hampumui daile anawapa dozi tu
Nimevumilia mengi sana jamani, kuna siku Yanga ilifungwa na Ihefu nikamkuta White amejificha chooni anacheka! Niliumia sana [emoji41][emoji41]Kama Yanga ilivyopokea na itakavyopokea kipigo kutoka kwa timu dhaifu ya Ihefu
Hawaamini macho yaooomchezaji wa EPL ndio huyu ?
View attachment 2479750
Ila huyu jamaa ni chawa wa Simba kimtindo mtindo huwezi kukaa 24/7 uko busy na Simba tuu... unaipenda itakua... maana Simba inataradadi JF na anaenzisha nyuzi ni mtu anajiita utopolo [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ukikutana na zwazwa piga hela ila uweze kujikaza usije kuchanganya kushangilia timu pinzani waziwaziNimevumilia mengi sana jamani, kuna siku Yanga ilifungwa na Ihefu nikamkuta White amejificha chooni anacheka! Niliumia sana [emoji41][emoji41]View attachment 2479760
Mlima Tikit Zambia huko wanaambiwa kutoka Epl.Hawaamini macho yaooo
Nimevumilia mengi sana jamani, kuna siku Yanga ilifungwa na Ihefu nikamkuta White amejificha chooni anacheka! Niliumia sana [emoji41][emoji41]View attachment 2479760
Kwani kuanzisha uzi wa matokeo ya Simba imekuwa tatizo?, Usipangie watu vitu vya kufanya Kama huwezi wewe wengine wanaweza.... Au kwasababu mmepakatwa ndio maana unaona ni ajabu kuleta taarifa za ngada fc?Ila huyu jamaa ni chawa wa Simba kimtindo mtindo huwezi kukaa 24/7 uko busy na Simba tuu... unaipenda itakua... maana Simba inataradadi JF na anaenzisha nyuzi ni mtu anajiita utopolo π π π π
Kwani kuanzisha uzi wa matokeo ya Simba imekuwa tatizo?, Usipangie watu vitu vya kufanya Kama huwezi wewe wengine wanaweza.... Au kwasababu mmepakatwa ndio maana unaona ni ajabu kuleta taarifa za ngada fc?
[emoji114][emoji114][emoji114]utopolo og povu huku... [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ni kama ligi ya somalia tu[emoji1][emoji1]Sorry ligi ya dubai iko na ubora gani?