Simba SC yapokea kichapo kutoka vibonde wa Dubai

Asichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.
Aisee hamuishi visingizio nyie. Anyway endeleeni kutafuta hiyo mifumo siku mkiipata tayari tutakuwa tumechukua ligi Kwa mara nyingine
 
Asichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.
Alafu akija kumasta mfumo ligi itakua imebakiza mechi ngap?
 
Sijali kuhusu matokeo, nataka kujua Huyo anaelambishwa nyasi na fundi mwamba wa Lusaka triple C ni nani?
 
Asichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.
Kwa taarifa tu kuwa kocha katumia wachezaji wale wale wa kikosi cha kwanza isipokuwa tu Inonga, Manula na Mzamiru. Na mfumo katumia ule ule aliokuta
 
Asichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.
Ukiwa unajaribu mfumo unatakiwa ufugwe?
 
Kocha anasema vijana wake wamecheza mpira mzuri
 
Kocha anasema vijana wake wamecheza mpira mzuri
Najua ni mapema sana ila huwa nina mashaka na mtu anapewa jukumu zito na yeye anajua lakini anakuwa na maneno mengi mno as if atacheza yeye
 
Ila huyu jamaa ni chawa wa Simba kimtindo mtindo huwezi kukaa 24/7 uko busy na Simba tuu... unaipenda itakua... maana Simba inataradadi JF na anaenzisha nyuzi ni mtu anajiita utopolo πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
Kamoja cha nguruwe πŸ˜€
 
Tumewashauri sana Makolo fc wasajili na waache kusema utopolo tunashinda kwa bahasha ila sikio la kufa halisikii dawa! Hata Yanga Princess wanaipiga Simba mbovu sana hii!
Kelele kibao debe tupu!
Timu ya mwisho kwenye ligi wamepigwa!
Hao CSKA Moscow wataipiga Simba dozen!
 
Aisee makolo wana safar ndefu sana kama kwenye mazoezi yao siku hizi kunakuwa na tuzo ya uchezaji bora
 
Attachments

  • Kibu.jpg
    49.3 KB · Views: 1
No majaribio na si kila majaribio upate ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…