Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwa hiyo, mmesogeza mbele mechi ya ligi ili mkafungwe huko..!!?Ila huyu jamaa ni chawa wa Simba kimtindo mtindo huwezi kukaa 24/7 uko busy na Simba tuu... unaipenda itakua... maana Simba inataradadi JF na anaenzisha nyuzi ni mtu anajiita utopolo π π π π
Mbona kama wewe unateseka sana na mazoezi ya simba kuliko timu yako kucheza mechi ya kirafiki na mbunu fc?Aisee makolo wana safar ndefu sana kama kwenye mazoezi yao siku hizi kunakuwa na tuzo ya uchezaji bora
Na wasisahau wamesogeza mechi mbele ili wakatie aibu huko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwaio mnajipooza kwa kuisema Yanga?
Eti kocha wenu anasema anasuka kikosi[emoji1787][emoji1787]
Hivi ni lini mtaacha kuishi kwa matumaini kama wagonjwa wa ukimwi?
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πAsichofahamu mtoa Uzi ni kwamba Simba kwa kuwa imepata kocha mpya ameluja na mifumo yake ambayo sasa anaifanyia majaribio.
Lengo sio ushindi bali ni kuona ile mifumo yake ni namna gani imepokelewa na wachezaji.
Mna namna ya ajabu sana ya kuhalalisha kichapo chenu.. Mwenzio mmoja anasema mifumo ya kocha.Kama Yanga ilivyopokea na itakavyopokea kipigo kutoka kwa timu dhaifu ya Ihefu
Kwamba na mechi ya keshokutwa nayo wanapakatwa?Mleta Thread Ameleta Kikuda Simba Inatupa Raha Ikirudi
Upoo?? Umechelewaa uzi karibia una expayaKwa hiyo, mmesogeza mbele mechi ya ligi ili mkafungwe huko..!!?
Uzi unaweza kuexpaya lakini lile moja litadumu mileleUpoo?? Umechelewaa uzi karibia una expaya
wapigwe tu,maana hamna namna.Amkeni amkeni amkeni wamepigwa Tena huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Simba imejaza wachezaji wazee sana mkuuIna maana hata wazee wa hati tiriki, captain BOKO na SAIDAA hawakupata hata la offside?
Kibu D mfungaji bora wa kwenye mazoezi. Haiwezekani Jiisiiemu lazima itakuwa alitembeza bahasha ili wazee wa SeMBe wakamiwe.
Mbona kama wewe unateseka sana na mazoezi ya simba kuliko timu yako kucheza mechi ya kirafiki na mbunu fc?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kama kawaida yao kulitia aibu taifa
Kama ile ya kwenu na Ihefu mpka wajukuu wataikuta historiaUzi unaweza kuexpaya lakini lile moja litadumu milele