Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo Na masharti ndiyo rufaa ya Simba haikukidhi, sasa unalialia nini?Serengeti boys walitolewa na wale waCongo lakini CAF wamewarudisha mashindanoni. Fair play kwenye soccer ni pamoja na kuzingatia vigezo na masharti.
Hakuna kati ya sheria 17 inayosema timu inaweza kupewa ushindi wa mezani, bali sheria 17 za soka zinasimamia mchezo ndani ya dakika 90.Basi kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na sheri 17za soka
Yaani mnawasilisha rufaa nje ya muda uliopangwa kisheria then mnakataa hata kulipia ada ya rufaaa, alafu mnalia lia eti mmeonewaa????? aloo kweli nyie mko serious kweli? tena kosa lenu ni kubwa kuliko hao waliomchezesha mchezaji mwenye kadi 3Real Madrid aliondolewa mwakajana kwenye kombe la Mfalme japo alishinda hyo mechi baada ya kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano .Jipange ndugu kama hujui mpira na huna facts
Unajua ya real Madrid tofauti na hii ya Simba acha kukurupuka kijana,Real Madrid aliondolewa mwakajana kwenye kombe la Mfalme japo alishinda hyo mechi baada ya kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano .Jipange ndugu kama hujui mpira na huna facts
Wewe utakuwa muhaya labdaHakuna kati ya sheria 17 inayosema timu inaweza kupewa ushindi wa mezani, bali sheria 17 za soka zinasimamia mchezo ndani ya dakika 90.
Hivi umewahi kusikia Barcelona au Chelsea imepewa point tatu na magoli matatu mezani?only in Tanzania.
Na ndio sababu hatuendelei katika soka. Leo hii watu badala ya kuhangaika kushinda mechi uwanjani ndani ya dakika 90 eti wanahangaika kushinda mezani.
Hakuna kati ya sheria 17 inayosema timu inaweza kupewa ushindi wa mezani, bali sheria 17 za soka zinasimamia mchezo ndani ya dakika 90.
Hivi umewahi kusikia Barcelona au Chelsea imepewa point tatu na magoli matatu mezani?only in Tanzania.
Na ndio sababu hatuendelei katika soka. Leo hii watu badala ya kuhangaika kushinda mechi uwanjani ndani ya dakika 90 eti wanahangaika kushinda mezani.
Unajua ya real Madrid tofauti na hii ya Simba acha kukurupuka kijana,
Ishu ya Madrid ilikuwa hivi, Denis Cheryshev alikuwa kwa mkopo Villareal, alicheza mechi za cope del Rey na kupata card 3 za njano, msimu unafuata akarudi kwny timu yake Madrid, hivyo Madrid hawakujua km Denis alipata card 3 akiwa kwa mkopo Villarreal, basi wakamchezesha ndio wakapokonywa ushindi, huoni tofauti hapo
Kwani vigezo na masharti havihusu utaratibu unaohitajika ili rufaa ipokelewe na kuzingatiwa?
Kwani kilicholalamikiwa na TFF dhidi ya Congo ni swala lililotokea ndani ya uwanja?
Kwani TFF haikuwasilisha malalamiko yake CAF kwa maandishi?
Kwani TFF haikuwasilisha malalamiko yake CAF ndani ya muda uliowekwa kwenye vigezo na masharti ya CAF?
Kwani kulikuwa na pande mbili ndani ya CAF zilizotofautiana juu ya umri wa mchezaji aliyelalamikiwa?
Kwani viongozi wa TFF walikuwamo na kushiriki kwenye Kamati iliyoipa ushindi Serengeti Boys?
Kwani Congo walilalamikia maamuzi ya CAF kuipa ushindi Serengeti Boys?
Kwani maziwa na tui ni sawa?
tehe ...teheMpira wa miguu ushindi ni magoli, ukitaka ushindi wa mezani jisajili table tennis.
Sikuelewi mkuu. Hoja yangu wala haiko kwenye nani apewe au asipewe pointi za mezani. Nilichokuwa nimesisitiza ni kwamba kesi ya pointi tatu za Serengeti Boys na hizi zinazolalamikiwa na Simba ni vitu viwili tofauti. Moja inahusu mchezaji aliyedanganya umri, ambaye kumbukumbu zake haziwekwi hadharani wala si jukumu la waamuzi wa pambano husika. Nyengine inahusu madai ya mchezaji kuwa na kadi tatu za njano, ambazo zunahusiana moja kwa moja na waamuzi wa pambano husika kwa kuwa hupaswa kuonesha kadi hizo hadharani na kuzinakili kwenye kumbukumbu zao. Ya kwanza inahusu vipimo vya kitaalamu kwa mlalamikiwa, ambavyo vitabainisha umri halisi wa mchezaji. Ya pili haina njia yoyote ya kisayansi ya kuithibitisha bila ya kuwepo kumbukumbu za mchezo husika. La kwanza wahusika hawakutoa ushirikiano, lakini hawajalalamikia hukumu iliyotolewa na mamlaka husika. La pili kila upande ulitoa ushirikiano lakini bado utata ukabaki juu ya upande upi umesema kweli. Walioshindwa wamelalamikia hukumu iliyotolewa na mamlaka husika. Kichekesho siyo mimi Mkuu, ni hilo igizo lenyewe la kushindwa kuwa na Kumbukumbu za mchezo husika.Unachekesha sana. Hivi ni jukumu la klabu kuweka rekodi ya kadi za wachezaji pinzani!? Unajua man tiki ya hukumu hii ni nini!? Ni kuwa hivi sasa mtibwa sugar anaweza kumchezesha mchezaji mwenye kadi anapocheza na yanga ili mradi tu yanga wakubali kutopeleka malalamiko tff.
Je na faki alikuwa na kadi ngapi za Njano mbona wahaya hilo munajiumauma hamjibu mara hawajalipia sijui rufaa imechelewa kubebana huku ndio kunakolemaza soka la kibongo aibu kwenu wahaya wa tffUnajua ya real Madrid tofauti na hii ya Simba acha kukurupuka kijana,
Ishu ya Madrid ilikuwa hivi, Denis Cheryshev alikuwa kwa mkopo Villareal, alicheza mechi za cope del Rey na kupata card 3 za njano, msimu unafuata akarudi kwny timu yake Madrid, hivyo Madrid hawakujua km Denis alipata card 3 akiwa kwa mkopo Villarreal, basi wakamchezesha ndio wakapokonywa ushindi, huoni tofauti hapo