Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu okwaa huko kwao ni uchawi umetagia, hataweza. Labdaa Akpan ndo sawa. Ila siamini sana kuhusu Ulozi.
Waganga wa Kipa wako Aishi Manula na Mshambuliaji wako Mzawa John Boko ni Jirani yangu mkubwa mno na najua ni nini Meddie Kagere kafanyiwa mpaka Kiwango chake Kikaisha mazima.

Hawa ni wa Simba SC yangu ila hakuna Wachezaji ambao sasa Wanarogana kama wa Yanga SC na kuna Beki wao Mmoja Mzawa sasa yuko kwa Mtaalam Zanzibar anamtengeneza ( anamroga ) Beki tegemeo wa Kigeni.

Hakuna Mchezaji wa Simba SC ambaye namjua ndani nje kama Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra huku Maskani yake Kubwa ikiwa ni Kijiwe cha Unga Unga Kawe na katika Kaunta ya Juu ya Massae Pub Kawe kama Jonas Gerald Mkude.

Sina shaka juu ya Kipaji chake Kikubwa alichonacho na hakuna Mchezaji wa Simba SC GENTAMYCINE ninampenda na nimepambana mno Kumtetea dhidi ya Maadui zake ( ndani na nje ya Simba SC ) kama Jonas Gerald Mkude, ila Mluguru huyu kwa 'Miba' hana mfano.

Mpira wa Tanzania una 'Miba' mno tu.
 
Okwa pia ana Wazee wake kutoka Nigeria waliobobea kuhusu mambo hayo, kwahivyo wacha tuone mchezo yaani.
Ni kweli kabisa kwa hawa Wanaijeria Okwa na Agban huyu Mwanangu Jonas Gerald Mkude ajipange na awe makini kwani safari hii Kaletewa 'Maprofesa' watupu wa Ulozi ( Uchawi )
 
Waganga wa Kipa wako Aishi Manula na Mshambuliaji wako Mzawa John Boko ni Jirani yangu mkubwa mno na najua ni nini Meddie Kagere kafanyiwa mpaka Kiwango chake Kikaisha mazima.

Hawa ni wa Simba SC yangu ila hakuna Wachezaji ambao sasa Wanarogana kama wa Yanga SC na kuna Beki wao Mmoja Mzawa sasa yuko kwa Mtaalam Zanzibar anamtengeneza ( anamroga ) Beki tegemeo wa Kigeni.

Hakuna Mchezaji wa Simba SC ambaye namjua ndani nje kama Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra huku Maskani yake Kubwa ikiwa ni Kijiwe cha Unga Unga Kawe na katika Kaunta ya Juu ya Massae Pub Kawe kama Jonas Gerald Mkude.

Sina shaka juu ya Kipaji chake Kikubwa alichonacho na hakuna Mchezaji wa Simba SC GENTAMYCINE ninampenda na nimepambana mno Kumtetea dhidi ya Maadui zake ( ndani na nje ya Simba SC ) kama Jonas Gerald Mkude, ila Mluguru huyu kwa 'Miba' hana mfano.

Mpira wa Tanzania una 'Miba' mno tu.
Hapo kwenye mpira wa Tanzania una Miba.

Hivi kule Azam FC kunani? Isije kukawa kuna mtaalamu mbobezi wa haya mambo..! Kwasababu yule Prince Dube huwa namuadimaya sana, pamoja na kupona majeraha lakini msimu uliopita hasa game za mkondo wa mwisho, hakutenda kile kitu mashabiki wake tulimkubali hapo mwanzo.
 
Fikisha salamu kwake mwambie msimu ule amekaa benchi, msimu huu ataendelea kukaa benchi hata akikuita wewe uwe mganga wake mkuu. Ukisaidiana na wachawi wote afrika.
Nitamfikishia kupitia Goma Lake ( Demu wake ) Mmoja aliyempamgia maeneo ya Mbezi Beach kwa Komba ambaye 'Namkazia' pia kwani Demu ana 'Makalio' makubwa, mazuri na yanayotetema ( kutikisika ) ambao kwa Sisi Wadau wa 'Rough Road' tuliozaliwa na kukulia Mikoa ya Pwani ( Mwambaoni )
hatuwezi Kumuacha bila kupita nae Kibaiolojia.
 
Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu? Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
Hahahaha dah kama kweli lkn
 
Hapo kwenye mpira wa Tanzania una Miba.

Hivi kule Azam FC kunani? Isije kukawa kuna mtaalamu mbobezi wa haya mambo..! Kwasababu yule Prince Dube huwa namuadimaya sana, pamoja na kupona majeraha lakini msimu uliopita hasa game za mkondo wa kwanza, hakutenda kile kitu mashabiki wake tulimkubali hapo mwanzo.
Aliyemroga Prince Dube kule Azam FC ni Mchezaji wenu ( Mtanzania ) ambaye Kutwa anazungushwa kwa Waganga wa Kienyeji na Magwiji wa Kazi hii Kipa Juma Kaseja na Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC Musa Hassan Mgosi ambao Wao huchukuwa 10% zao kwa hao Wataalam ( Waganga )

GENTAMYCINE mtanizidi katika Mipira ya huko Ulaya, ila kwa Soka la Tanzania na Wachezaji wa Tanzania mpaka yanayofanyika nina PhD ( Doctorate ) nayo ( nao ) kabisa kwani 90% ya kuanzia Wachezaji, Viongozi na mpaka Makocha ( hasa Selemani Matola ) ni Watu wangu wa karibu na Wana ( Marafiki ) mno.
 
“Kwa usajiri huu mandogo fc saivi inye zimewajaa kwa hofu kwny boxer zao”... alisikika prezidaa mmoja wa mchongo akilopoka
 
Nimekuambia huyu ni kama Ngolo Kante.

Okwa ni (Centro Campista Centrale) Kiungo mjanja mjanja, mbunifu mwenye uwezo wa kuwapoteza mapoya wapinzani.
Utaelekeza sana mkuu pumzika. Watu wanataka kusikia mabaya tu yani Apotezwe yeye sio kuwapoteza mapoyoyo
 
Atarogwa na Mkude hadi mtamchukia. Kama Fraga na Lwanga wote wamepotezwa na huyu Dogo Mluguru itakuwa huyo ( huyu ) Okwa wenu?

Mkisikia tu Mkude anaomba Udhuru kwenda Kwao Morogoro jueni Agban na Okwa wanaenda Kupigwa 'Miba' ya maana Kudadadeki.
[emoji23][emoji23] Aloo
 
Back
Top Bottom