Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

Simba SC yatangaza kukamilisha usajili wa kiungo nyota Nelson Okwa raia wa Nigeria

Mwaka Uto lazima watubu.

Mimi sitakuwa mshabiki wa wachezaji (individually), nitakachojali ni matokeo na mpira mzuri.

Yeyote atakaepangwa na kocha kikubwa afanye kazi vzr
 
Mwaka Uto lazima watubu.

Mimi sitakuwa mshabiki wa wachezaji (individually), nitakachojali ni matokeo na mpira mzuri.

Yeyote atakaepangwa na kocha kikubwa afanye kazi vzr
Kumbe nia yenu mtufunge? zimebaki siku 9
 
Hapo kwenye mpira wa Tanzania una Miba.

Hivi kule Azam FC kunani? Isije kukawa kuna mtaalamu mbobezi wa haya mambo..! Kwasababu yule Prince Dube huwa namuadimaya sana, pamoja na kupona majeraha lakini msimu uliopita hasa game za mkondo wa kwanza, hakutenda kile kitu mashabiki wake tulimkubali hapo mwanzo.
Yule alikuja kichwa kichwa bila kujipanga na hii misumari wa Congo kidogo wanajitahidi kuidhibiti
 
Huyu sio box to box midfielder but he is attacked midfielder , anaweza kucheza no ,eight, ten and eleven
Mkuu utofauti wa box 2 box,attacking na deffensive midfielder ni upi?
natanguliza shukran zangu za dhati kwako mkuu lukala
 
Ambaye hajapata mbabe wake ni Mohamedi Hussen yule ndo kajipanga mwamba ni hatari
Wajomba zake Tanga ( Mmoja alishakuwa Mchezaji Mpira mkubwa tu ) nchini wanamhangaikia mno Ndugu yao na Mtaalam wake huko Tanga ndiyo huyo huyo Mtaalam ( Mganga ) wa Mbunge na Waziri Mmoja.
 
Wajomba zake Tanga ( Mmoja alishakuwa Mchezaji Mpira mkubwa tu ) nchini wanamhangaikia mno Ndugu yao na Mtaalam wake huko Tanga ndiyo huyo huyo Mtaalam ( Mganga ) wa Mbunge na Waziri Mmoja.
Ni nomaaa
 
Mbona siku hz watu hawaulizi kafunga magoli mangapi Kwenye hizo mechi? Maana alikuja kiungo akakashfiwa kuwa hakufunga magoli mengi.
 
Back
Top Bottom