Kumbe nia yenu mtufunge? zimebaki siku 9Mwaka Uto lazima watubu.
Mimi sitakuwa mshabiki wa wachezaji (individually), nitakachojali ni matokeo na mpira mzuri.
Yeyote atakaepangwa na kocha kikubwa afanye kazi vzr
Hapana abdul sopuKuliko mnavyomjua FEISAL???
Kumbe nia yenu mtufunge? zimebaki siku 9
Ambaye hajapata mbabe wake ni Mohamedi Hussen yule ndo kajipanga mwamba ni hatariNaweza Kukuamini kwakuwa kama ni Uchawi Wanaijeria ndiyo Walimu na Watanzania ni Wanafunzi.
Huyu sio box to box midfielder but he is attacked midfielder , anaweza kucheza no ,eight, ten and elevenBox to box middle
Kuna mchezaji gani hapo kasha fika nusu final CAF?Mwamba hana maelekezo mengine zaidi ya Nusu Fainali CAF
Yule alikuja kichwa kichwa bila kujipanga na hii misumari wa Congo kidogo wanajitahidi kuidhibitiHapo kwenye mpira wa Tanzania una Miba.
Hivi kule Azam FC kunani? Isije kukawa kuna mtaalamu mbobezi wa haya mambo..! Kwasababu yule Prince Dube huwa namuadimaya sana, pamoja na kupona majeraha lakini msimu uliopita hasa game za mkondo wa kwanza, hakutenda kile kitu mashabiki wake tulimkubali hapo mwanzo.
Wala sisi hatuna shida na nyie maana kujipigia ni jadi yetuHaijawahi kutokea target ya Simba Sc ikawa kumfunga Yanga. Sisi target ni kufanya vzr katika mashindano.
Wananchi upole ni kawaida yetu. Sasa uyo Okwa ana maajabu gani?naona mmekuwa wapole 🤣🤣
Wajomba zake Tanga ( Mmoja alishakuwa Mchezaji Mpira mkubwa tu ) nchini wanamhangaikia mno Ndugu yao na Mtaalam wake huko Tanga ndiyo huyo huyo Mtaalam ( Mganga ) wa Mbunge na Waziri Mmoja.Ambaye hajapata mbabe wake ni Mohamedi Hussen yule ndo kajipanga mwamba ni hatari
Alikuja Kwasi na kiwango chake kizuri, kilichofata nadhani kila mtu anajua.Ambaye hajapata mbabe wake ni Mohamedi Hussen yule ndo kajipanga mwamba ni hatari
Ni nomaaaWajomba zake Tanga ( Mmoja alishakuwa Mchezaji Mpira mkubwa tu ) nchini wanamhangaikia mno Ndugu yao na Mtaalam wake huko Tanga ndiyo huyo huyo Mtaalam ( Mganga ) wa Mbunge na Waziri Mmoja.
Hata mtoto mdogo akinyea anakuwa mpole,nyie mnatembea na vinyesi kwenye vyupi vyenu ndiyo maana mnakuwa wapole. Mafi yenuWananchi upole ni kawaida yetu. Sasa uyo Okwa ana maajabu gani?
Hakika umbumbumbu mzigoHata mtoto mdogo akinyea anakuwa mpole,nyie mnatembea na vinyesi kwenye vyupi vyenu ndiyo maana mnakuwa wapole. Mafi yenu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas kazi ipo.Akpan naye ni mnaijeria hakuna afadhali hapo