Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

Ukiwasikiliza wachambuzi mazuzu ya baadhi ya media wanavyoisifia utopolo.....unaweza ukahisi utopolo ni club namba moja kwa ubora afrika......


Hivi haya mazuzu huwa yanapewa bahasha za kaki na GGSM
 
Simba kweli wame~deserve kuwa hapo.
Tofauti yao na yanga ni kwamba yanga walikuja mara moja na kufika mbali lakini hawakuwa na consistency....simba ameset standard
Kutoka Klabu bingwa mpaka shirikisho hiyo ndio standard?
 
Sema tu siku ile tulipokimbia mechi kwa kuogopa kipigo kitakatatifu kutoka kwa mtani wetu Yanga, kumewafanya mashabiki wetu kuzipokea hizi taarifa huku wakiwa na unyonge usio wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…