Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

Simba SC yatikisa kwa ubora Afrika, yapanda hadi nafasi ya 4

Club ya Simba SC ya Tanzania sasa imepanda katika viwango vya Timu bora Afrika na kuwa nafasi ya tano baada ya kufanikiwa kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuitoa Al Masry ya Misri kwa penati 4-1 (agg 2-2).

Simba SC imepanda hadi nafasi ya nne baada ya kuipiku Wydad Casablanca ya Morocco kutokana na Simba SC kuwa na point 43.

Timu inayoongoza kwa ubora kwa sasa ni Al Ahly ya Misri (point 78), nafasi ya pili ni Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini (point 57), na ya tatu ni Esperance Tunisia (point 57). #MillardAyoUPDATES
1744323254882.jpg
 
Club ya Simba SC ya Tanzania sasa imepanda katika viwango vya Timu bora Afrika na kuwa nafasi ya tano baada ya kufanikiwa kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika
Aisee
Simba SC imepanda hadi nafasi ya nne baada ya kuipiku Wydad Casablanca ya Morocco kutokana na Simba SC kuwa na point 43.
Inasikitisha sana
 
Ukiwasikiliza wachambuzi mazuzu ya baadhi ya media wanavyoisifia utopolo.....unaweza ukahisi utopolo ni club namba moja kwa ubora afrika......


Hivi haya mazuzu huwa yanapewa bahasha za kaki na GGSM
Kwani Simba ni namba moja?
 
Hatimaye Mbumbumbu fc watwaa kombe la kuwa nafasi ya nne Africa.

Ama hakika Dunia haikosi vituko maana kuna majamaa yanashangilia kabisa wakati hawana kikombe chochote cha ku justify nafasi iyo.
 
Kutoka Klabu bingwa mpaka shirikisho hiyo ndio standard?
Acha utopolo basi, hivyo viwango siyo vya kombe la shirikisho ni viwango vya ubora Afrika. Hata utopolo mlioshiriki klabu bingwa mmepewa nafasi yenu.
Utopolo hovyo kabisa.
 
Club ya Simba SC ya Tanzania sasa imepanda katika viwango vya Timu bora Afrika na kuwa nafasi ya tano baada ya kufanikiwa kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuitoa Al Masry ya Misri kwa penati 4-1 (agg 2-2).

Simba SC imepanda hadi nafasi ya nne baada ya kuipiku Wydad Casablanca ya Morocco kutokana na Simba SC kuwa na point 43.

Timu inayoongoza kwa ubora kwa sasa ni Al Ahly ya Misri (point 78), nafasi ya pili ni Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini (point 57), na ya tatu ni Esperance Tunisia (point 57). #MillardAyoUPDATESView attachment 3299595
Yanga nao wamemfunga Azam fc jana na Ali kamwe makundi amelia kama Ahmed Ally. Nadhani wamepanda sana viwango vya CAF, maana si kwa kilio kile.
 
Back
Top Bottom