Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

Sawa hii Batman sio timu ya daraja la pili huko?
Bora ingekuwa daraja la pili. Batman alikuwa daraja la nne, na msimu huu kashuka daraja. Kwa hiyo mwaka kesho atakuwa daraja la tano.
 
Kama hamkufurahia sisi tulijuwaje kuwa mmewapiga wafungwa kumi ,
Hakuna taarifa yeyote iliyotolewa wala kuzungumziwa kwa huo ushindi zaidi ya ukurasa rasmi wa timu, tofauti na nyie mlivyoukuza huo ushindi wenu kwa timu ya uturuki inayoburuza mkia kwenye ligi daraja la tatu.
 
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†Simba Sports Club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…