vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Hata msimu ulioisha tulicheza na wakina Mbuni fc huku nyie mkicheza na timu za nje ya mipaka ya Tanzania je yaliyovunwa ni yapi kwa kila mmoja?Sa ulitaka walie,??wamecheza na watu wa ulaya wakawakanda nyingi,acha wajisifie,nyie mnacheza na mbuni fc,na magereza fc,mnajisifia nini sasa hapo????