Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

Simba SC yaua 4-1 Uturuki; Inatishia amani

Mwaka gani hii?
CA0DFDA8-64E7-4AF1-B45D-2FFB34975B28.jpeg
 
Aha,sawa kesho mnacheza na friend rangers unasemaje kuhusu hilo?
Hatuongelei kucheza na nani bali kujisifia kwa kumfunga nani. Tunacheza friend rangers lakini huwezi kukuta wanayanga wanajisifia kama mfanyavyo nyie kwa kumfunga timu inayofheza daraja la tatu na kushuka daraja
 
Sa ulitaka walie,??wamecheza na watu wa ulaya wakawakanda nyingi,acha wajisifie,nyie mnacheza na mbuni fc,na magereza fc,mnajisifia nini sasa hapo????
 
Ila Rabi Hume ni mnoko sana, akasubiri Ngoma ageuke ndo apige picha ili hiyo namba sita ionekane vizuri 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom