vibertz JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 2,474 Reaction score 4,726 Aug 1, 2023 #41 Smart AJ said: Sa ulitaka walie,??wamecheza na watu wa ulaya wakawakanda nyingi,acha wajisifie,nyie mnacheza na mbuni fc,na magereza fc,mnajisifia nini sasa hapo???? Click to expand... Hata msimu ulioisha tulicheza na wakina Mbuni fc huku nyie mkicheza na timu za nje ya mipaka ya Tanzania je yaliyovunwa ni yapi kwa kila mmoja?
Smart AJ said: Sa ulitaka walie,??wamecheza na watu wa ulaya wakawakanda nyingi,acha wajisifie,nyie mnacheza na mbuni fc,na magereza fc,mnajisifia nini sasa hapo???? Click to expand... Hata msimu ulioisha tulicheza na wakina Mbuni fc huku nyie mkicheza na timu za nje ya mipaka ya Tanzania je yaliyovunwa ni yapi kwa kila mmoja?
Prince Luanda JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 2,255 Reaction score 2,825 Aug 1, 2023 #42 Sizinga said: Local game Kuna timu itakufa 10, niko paleeeee Click to expand... Hao wafungaji mtakuja kulia hapa na kuwaita wazee time will tell
Sizinga said: Local game Kuna timu itakufa 10, niko paleeeee Click to expand... Hao wafungaji mtakuja kulia hapa na kuwaita wazee time will tell