Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Simba SC imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, uzinduzi uliofanyika Sandaland Tower, Kinondoni, Dar es Salaam. Jezi hizo zitaanza kutumika katika mechi dhidi ya FC Bravo ya Angola, katika mchezo wa tarehe 27 Novemba 2024, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Soma: Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika
Soma: Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika