Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

Yani haijanoga kwakweli... huyu ndo Caren au malaika?
Wangemtafuta hata msichana mwenye umbo simpo simpo sio umbo la hivyo...msyuuuuu..
Huyo sijui ni nani mpendwa...
Au ndo malaika kweli maana huo mpaksundi ni kama wake....
 
Naona watu wamesema wangetafuta kabinti tu safii kama wale wakina aaliya sijui
Wangemtafuta hata msichana mwenye umbo simpo simpo sio umbo la hivyo...msyuuuuu..
Huyo sijui ni nani mpendwa...
Au ndo malaika kweli maana huo mpaksundi ni kama wake....
 
Wamewaweza, badala ya kujadili jezi mnamjadili mvaazi. Kanjubai kakaa pale anacheeka.
 
Daah watu tunatofautiana aseeh. Hongereni mnazifurahia hizi jezi maana kweli tunatofautiana.
 
Back
Top Bottom