Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Haya mabango mbele yameharibu kila kitu🚮😀Saa 4 asubuhi klabu ya Simba inazindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika Sandaland Tower, Kinondoni.
Soma: Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika
Mkataba wa matangazo unaiingizia timu kiasi gani?Klabu ya Simba imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, Sandaland Tower, Kinondoni.
Soma: Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika
Sijapenda sana kwanini wamtumie nyamitaco sasaKlabu ya Simba imezindua jezi mpya maalum kwa ajili ya michuano ya Shirikisho Afrika, Sandaland Tower, Kinondoni.
Soma: Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika
Hauna maajabuTusubiri uzi wa club bingwa ukitangazwa
Bila hayo huwezi kupata hela ya kumsajili Mavambo. Mara ya kwanza Yanga walikuwa wanaiponda Simba kuwa na wadhamini wengi. Kwa sasa Yanga inaongoza kuwa na wadhamini wengi wadogo wadogoHaya mabango mbele yameharibu kila kitu🚮😀
Kwa sasa Sheria Ngowi ameishiwa ubunifu, anatoa jezi za mabaka mabaka. Wale vijana aliokuwa anawatumia wameanzisha kampuni yaoTusubiri uzi wa club bingwa ukitangazwa
Sasa bilioni 20 unafikiri zitarudije!! Pesa ndefu hiyo ati.Haya mabango mbele yameharibu kila kitu🚮😀
Sijui kwa nini wametumia mtu ana umbo Kama kirobaIlo umbo sasa la huyo mrembo ni hatari kwa afya ya macho
"If it don't make dollars, it don't make sense"Jersey nzuri ila wangeweka "visit Tanzania" kama zamani
Mswalie mtume maalim!Ilo umbo sasa la huyo mrembo ni hatari kwa afya ya macho
Ameishiwa kivipi, ni lini katoa jezi mbaya? Mara zote anawachapa kwa jezi Kali amjawai kumzidi kwa jeziKwa sasa Sheria Ngowi ameishiwa ubunifu, anatoa jezi za mabaka mabaka. Wale vijana aliokuwa anawatumia wameanzisha kampuni yao