Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

Bila hayo huwezi kupata hela ya kumsajili Mavambo. Mara ya kwanza Yanga walikuwa wanaiponda Simba kuwa na wadhamini wengi. Kwa sasa Yanga inaongoza kuwa na wadhamini wengi wadogo wadogo
Hili bango kwangu siwezi vaa aisee, ni sawa uniambie nivae bango la ice-cream🚮🚮
 
Huo ujinga hatuutaki tena. Tumefanya hivyo miaka kadhaa bila kupata appreciation kutoka kwa Gavrument. Il Gavrument hiyo hiyo ikawapa kongole kubwa sana Mrs. Tabora United mwaka juzi na mwaka jana.
Acheni gubu basi
Weka visit Tanzania
 
kongole mtani umetuluia na rangi zako muhimu 👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…