Simba SC yazindua rasmi uzi mpya wa michuano ya Shirikisho Afrika 2024/25. Waongeza rangi mpya

Uzi umesimama
Blue
Red
White
Io ingine sijui rangi ghani
As it stands👍
 
Hiv uzi wanaotakiwa watangaze n wachezaji au wamama bongo mambo yetu kivyetu vyetu
 
Angalia quality iyo uifikii ata robo, Kuna jezi na Kuna nguo ukiwa na D 2 utaelewa,
Hakuna kitu mzee, ile mitambara ya mwaka huu huwezi linganisha na jezi za simba kamwe, ndiomaana wakosoaji wa UTO hawakuikosoa jezi ya simba bali walikosoa neno SANDA
 
Pesa ya kanji aiendi bure ana itendea haki kila angle ya uzi una mkuta
 
Hakuna kitu mzee, ile mitambara ya mwaka huu huwezi linganisha na jezi za simba kamwe, ndiomaana wakosoaji wa UTO hawakuikosoa jezi ya simba bali walikosoa neno SANDA
Izo za Simba ni jezi nazo, unaangalia quality au unaangalia rangi?
 
Bado tu mnavaa Sanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…