Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

Nimefatilia interviews zao wote

Kiukweli haji manara kazingua sana na ameonesha chuki zake binafsi dhidi ya muro ambazo hazihusiani kabisa na michezo



It's Scars
Kweli! Mimi ni mwanasimba! Cjaona kosa la jelly muro.
Manara huwa tunafurahi anapowachamba wanayanga! Juz kati hapa kampiga dongo nugazi lkn mbn hajakasirika

Manara acha hizo!
 
 

Manara nakumbuka alishawahi kusema amebaguliwa na Jerry Muro kwa sababu ya ulemavu, nilimwona ni mjinga kipindi kile.

Out of topic: Tone ya mwandiko wako ni kama vile kaandika sister duh! Jaribu kutumia tone ya kiume kwenye maandishi yako.
 
Ualbino unamsumbua Manara amekuwa na inferiority sana!!

Namuonaga ni kijana mpumbavu sana asiye na akili kichwani.

Wengi wa dini yake wapo hivyo ni mpumbavu na anapaswa kupuuzwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo unasema kuwa wote wenye imani sawa na Manara ni....ebu acha kuchanganya watu wengine na upumbavu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAMAKI.MKUNJE INGALI MBICHI
HUYU ALISAHAULIKA SASA ANACHOSAHAU MWOSHA HUOSHWA
UNDULEEE UNDULIII
ATULIEE TU AACHE UJINGAA ALISHAZOEA NGONJERA ZAKE KWENYE PRESS AKASAHAU HII DUNIA KILA.MJANJA MUNGU KAMUUMBIA MJANJA MWENZAKE
 
Nimefatilia interviews zao wote

Kiukweli haji manara kazingua sana na ameonesha chuki zake binafsi dhidi ya muro ambazo hazihusiani kabisa na michezo



It's Scars
Pia jamaa waziwazi humchukia shaffih dauda
 
mwiba wa muro umemuingia na leo tumeshinda
 
Muro kakosea,

Huwezi leta dharau dhidi ya walimu wa madrasa.

Unahusiana vipi na kazi ya manara simba na michezo.

Sio mbaya kwa walimu wa madrasa ni wasiosoma elimu dunia zaidi ya kukariri quruan kama ameona manara ansifa hizo,sawa.

Ila yote iwavyo,utani kuhusiana na mambo ya imani za watu hasa dini haukubaliki mahali popote pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia jamaa waziwazi humchukia shaffih dauda
Halafu sababu yenyewe ya kitoto kweli eti Kwa sababu ali ita Simba " the underdogs". Haji Bana kama katoto Ka primary vile
 
Manara nakumbuka alishawahi kusema amebaguliwa na Jerry Muro kwa sababu ya ulemavu, nilimwona ni mjinga kipindi kile.

Out of topic: Tone ya mwandiko wako ni kama vile kaandika sister duh! Jaribu kutumia tone ya kiume kwenye maandishi yako.
Nimekuwa " pretty" kwenye maandishi yangu ili Haji asiseme nime mbagua.

Anyways inaonekana upo so sensitive na mfumo dume kama wakurya.

Umenikumbusha mwaka Fulani tulienda ugeni mahali kwenye msafara wetu kulikuwa na Mkurya mmoja sasa kabla ya Kula Mwenyeji wetu akaomba mmoja Kati yetu aombee chakula. Basi jamaa mmoja mkatoliki ( hua ana tatizo la kuongea haraka haraka) akasema "BABA MUNGU WA MBINGUNI, TUBARIKI SISI 'WANAWAKO' SISI NA CHAKULA CHETU , TUPATE NGUVU ZA KUKUTUMIKIA VYEMA, AMINA"

Jamaa kamaliza kusali Tu Yule Mkurya kamkwida " BRO UNASEMA SISI WANAWAKE, NANI MWANAMKE HAPA"? REO UTANIEREZA VIZURI'!!! kumbe Yule Mkurya lile neno " WANAWAKO" yeye kasikia ' WANAWAKE" .

U SOUND LIKE MKURYA YULE
 

Uaneni na matimu yenu yashakua ya kiccm

Fvck yall
 
Haji anadhani anaweza kuwatania na kuwatukana Yanga bila kikomo bila yeye kufanyiwa hivyo.

Kaja na hoja za udini na matumizi mabaya ya madaraka kwa rafiki yake Jerry Muro. Kamwita Jerry sio rijali hajazalisha mtoto. Angeambiwa yeye ingekuwa balaa kubwa.

Sasa anataka Jerry atumbuliwe uDC. Yeye atafia Simba anakoogopwa. Amekuwa Msemaji wa kudumu. Gift Macha kaishia hewani kuipata kazi hiyo.
 
Na hapo hawawezi kumn'goa Kwa sababu kwenye sekta ya " Chimba Fukia" Jamaa anasemekana yupo vizuri
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…