Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

Mimi namuelewa Manara, sasa hivi ni kipindi cha joto kali sana Dar, anawashwa washa sana to the extent kichwa kina-boil, msamehe bure
 
Kwa vile Baba yake Mzazi bado yupo aitwe na aonywe vikali na Wazazi wake.
 
Mwoshaa huoshwaa atuliee sindanoo imuingiee allah
 
ASHUKURU.MUNGU TUKO.MFUNGO WA RAM.OOPS KWARESMA TUSHAMTOLEA UVIVU.MAPEMA.HUYOO
 
Acheni ukuda nyie ...nyinyi ndio wachawi wa mpira wa nchi hii, badala tuelekeze nguvu zetu kwemye maendeleo ya soka, mnaanza kuleta porojo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa jitu halina kazi za kufanya, mkuu wa wilaya wananchi wana matatizo chungu nzima wewe uko kwenye press unaongelea mambo ya yanga na kurushiana maneno, mishahars ya kodi za wananchi maskini zinatumika bila sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry murro alicho kisema hiki hapo kwa wale wasio sikia na kusoma sioni kosa hapo haji anashida sana
 

Attachments

  • IMG-20200226-WA0025.jpg
    76.4 KB · Views: 15
Kimsingi Muro aliongea kiutani tu kama inavyoeleweka tambo za simba na yanga ila Hajji kayakuza mambo sana yani
Tatizo anajifanyaga hamna wa kumshinda. Yaani anataka atoe kauli chafu yeye tu na wale followers wake wakimsapoti basi anajisikia raha kabisa.

Sikuona sababu ya kuita press na kuwaka kiasi kile. Eti mpaka anarudisha milioni aliyosaidiwa na Muro sijui mwaka gani huko. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila yote kwa yote wale wanajuana hivyo tusubiri tuone watayamalizaje.
 
Manara anapenda sana kuwahusisha wenzake na tuhuma za ushoga kuna kipindi alimuandama Nugaz na vijembe vya ushoga pia jana karudia kwa Muro kwamba hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba zote hizo mara sio rijali ingekua kasemwa yeye hivyo yangekua mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…