Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

Kama hujaona uchafu wa mdomo wa Muro wew utakua ni kiaz usieona kundule.Nyambafu
 
Mimi ni mwana Yanga hata hivyo jenny Muro hana haki ya kumtania mtu kwa mambo yaliyo nje ya mpira.
Mfano. Kumsema Haji hajaoa
Kumsema Haji ni mwalimu wa madrasat.
Kumwita Haji mzungu.
No. Tukitaniana tusifike kwenye boxer wala akaunti za benki.
 
Manara anapenda utani lakini hapend kutaniwa.. Apambane na mfupa Jerry Muro ndiyo size yake

Sent from my iPhone 12 using Jamiiforums App
 
Ukipenda utani usiwe mwepesi kukasirika



Hii ndo kanuni ya utani,kama huiwezi hii utani utakushinda
 
Na hapo hawawezi kumn'goa Kwa sababu kwenye sekta ya " Chimba Fukia" Jamaa anasemekana yupo vizuri
Teh teh teh teh! hizo imani hazipo tena Simba 😂😂😂
 
Mimi ni mwana Yanga hata hivyo jenny Muro hana haki ya kumtania mtu kwa mambo yaliyo nje ya mpira.
Mfano. Kumsema Haji hajaoa
Kumsema Haji ni mwalimu wa madrasat.
Kumwita Haji mzungu.
No. Tukitaniana tusifike kwenye boxer wala akaunti za benki.
Mbona manara kasema Muro Sio Rijali hajazalisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Humu naona kuna Usimba na Yanga tu maana hao watu wawili Haji na Muro wote waongea hovyo ila naona anaandamwa Haji tu.
 
Mbona manara kasema Muro Sio Rijali hajazalisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu au hata mjinga ukiona ameongea upumbavu usimjibu jibu la kipumbavu. Uungwana nyamaza baadae akigundua kwamba umeona ni mpumbavu atajirekebisha. Lkn mkianza kurushiana madongo hata mambo ya wazee na watoto mtawataja ilhali hawahusiki na mambo yenu ya vijiweni
 
Kwakwel mm ni simba damu sana na nampenda manara sana ila kwa hili kazingua sana,

Kuna kejel za watu anatoa na zinawaathiir kwa namna moja au nyingine,na huwa naamini ni jokes katika game.kumbe yyy akiguswa kidogo anakua hiv,naamin hakuna mahali jer mullo alitoa povu la ukwel katika maneno yake isipokua vionjo tu katika press na mashabiki kama manara anavyofanya,bado sitak kuamin pia kama this is real bif nahis wote wawil wamekubaliana to draw attention kulelekea mech ya simba na yanga.MAANDALIZI MEMA YA KWARESIMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe Manara nae anajiona ni mtu mkubwa kiasi cha kuwaamurisha Waislamu ama kweli siku zimeisha hivi huo umaarufu alioupata kwa kejeli na matusi kupitia Simba ndio umemfanya awe na kiburi,hivi kweli Simba ni ya Waislamu tu,na hiyo jeuri mbona hatukuiona pale alipokuwa ombamba kwenye radio ya Uhuru FM na magazeti yale ya kufungiwa nyama,Manara anajidanganya kwa kujifanya yeye ni mtu mkubwa nchi hii,yeye ni mjinga tu ka wajinga wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…