Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

Hawa jamaa wana juwana pengine walipanga kabisa maneno watakayo ongea yakuleta tafran! Pengine sasa hivi wana cheka Sana malengo yametimia!
 
Haji anapenda kuongelea urijali wa wenzie. Kati yao, wanamtafunia vitu vyake. Poor Haji. Very poor indeed.
 
Lakini mbona kama Jery muro nae alizidisha maneno ya kujitapa sana?
 
Kwani Makonda kaacha kazi ya RC alipoteuliwa kuwa mshauri wa Mo?
 
Mbona manara anakashfu watu kila siku hakuna mtu analalamika, aende zake huko, anawatukana wana yanga kila siku, mbona wenyewe wanachukulia ni utani tu, yeye kusemwa kidogo kapanic.....aache hizo. Na mimi nilivyomuelewa Jerry kaongea kiutani tu, yeye anatake it serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alie tukana anabebwa na mbeleko ya chuma,aliyetukanwa ndio anapewa warning akae kimya,je hii ya kwako tuiiteje boss?
 
Muro kiukweli anajizalilisha na anazalilisha mamlaka hiliomteuwa ombi kwa serikali muro hasitake tuichukie ccm yetu kwa upuuzi wake,mtu mzima mweshimiwa anaweka hadhalani eti kamsaidia haji wakati anaitaji matibabu hivi tujiulize sisi watanzania huu utamaduni wa kumsimanga mtu wakati alipokua anaumwa ulimtolea mchango wapi kuna ujinga huo au anataka kutuambia ndio utamaduni wa kichaga huo,hebu atumikie nafasi yake ya ukuu wa wilaya asichafue hali ya hewa kwenye soka haji manara ni mkongwe kwenye mizani ya soka si yeye muro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na vile waislam wanavyo juaga kumatuka kwa hasira kama moto Gesi imekutana na Cheche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…