Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Endeleeni kujifariji utopolo FC. Mkija kushituka Simba itakuwa kwenye timu 5 bora barani Afrika.Nimesikitika kwa ulichokiandika, ama kweli Rage alikuwa sahihi.
Umedandia majadiliano ambayo hayakuwa yako, alaf unajizima data.
Kuna sehemu nimesema 20 ni kubwa kuliko 35?. Kuna sehemu nimeongelea habari za position ya Yanga 18 au Simba 8?. Labda kwavile wewe ni mgumu kuelewa, ngoja nikuulize swali, msimu uliopita timu yako imekusanya points ngapi CAF?
Hapo Yanga ana makombe yote ya ligi kuu, mapinduzi na ngao.