Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Kwani miaka 4 mlitotoka kapa mliacha kufanya bonanza lenu, uto kama uto
Weka makombe mezani acha longolongo na kutetea ujinga!

Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji mengine ni usanii!
 
Mafanikio makubwaa...tumekua wa 8 kwny ranks zaAfrica
Tunaingia makundi moja kwa moja...
Tunacheza super cup...
Nyie mlopata ile beji sijui cheni mnaanzia wapi? Furaha yenu iko wapi mtani?
Hiyo bold unaniongopea Mimi au wajiongopea mwenyewe mtani? Au unazungumzia makundi yapi?

Kwa miaka 5 mmekusanya points 35, sisi kwa mwaka 1 tumekusanya points 20, nani wa kufurahia hapo? 😅
 
Mpe vidonge vyake huyo Dada wala hajui nini kinaendelea!
 
Hiyo bold unaniongopea Mimi au wajiongopea mwenyewe mtani? Au unazungumzia makundi yapi?

Kwa miaka 5 mmekusanya points 35, sisi kwa mwaka 1 tumekusanya points 20, nani wa kufurahia hapo? 😅
35 kwa 20 bado unafurahia au unajiliwaza?
 
2017-2021 Yanga haikuchukua kombe misimi 4 mfululizo.
Je, hawakufanya sherehe ya Yanga Daya?
Unateseka ukiwa wapi?
Kwa hiyo mnaiga Yanga kusherehekea zero! Hoja mfu sana hiyo!

Piga vita zero Simba!
 
Mwenzako wa utopolo anamuomba mungu Mickson avunjike mguu.
Unateseka ukiwa wapi?
2017-2021 Yanga haikuchukua kombe misimu 4 mfululizo.
Aliyewaita utopolo hakukosea
 
Acha kelele weka makombe na mataji mezani Mama Samia aone vinginevyo ni ukuda tu!
2017-2021 Yanga haikichukua kombe misimu 4 mfululizo. Walisheherekea?
Utakuwa mchawi wewe, angalia utazeeka mapema sana
 
Mwenzako wa utopolo anamuomba mungu Mickson avunjike mguu.
Unateseka ukiwa wapi?
2017-2021 Yanga haikuchukua kombe misimu 4 mfululizo.
Aliyewaita utopolo hakukosea
Hoja mezani ni piga vita zero Simba, Mickson ndiyo mwokozi wenu?
 
Acha kelele weka makombe na mataji mezani Mama Samia aone vinginevyo ni ukuda tu!
Akiona ili iweje? Hatuna makombe wala mataji. Wewe unatakaje?
Utazeeka mapema. Mpira ni burudani ila wewe unachukulia uadui.
 
35 kwa 20 bado unafurahia au unajiliwaza?
Umetumia miaka 5 kupata hizo points 35. Mimi nimetumia mwaka mmoja kufikia points 20. Kwa maana nyingine, kabla msimu uliopita haujaanza, Mimi nilikuwa na points 0.5, ila msimu unaisha nina 20.

Umeelewa ninachozungumzia au nikupe muda?
 
Akiona ili iweje? Hatuna makombe wala mataji. Wewe unatakaje?
Utazeeka mapema. Mpira ni burudani ila wewe unachukulia uadui.
Kwa hiyo mmeamua kumuonyesha jinsi mlivyo mahiri kucheza kigodoro na singeli?
 
Nizeeke mara mbili!

Piga vita zero Simba!
Mpira ni burudani wala siyo vita. Umezeeka kwa roho mbaya wala siyo umri wako wa kuuzeeka.
Timu haina mataji wala makombe bado unaionea wivu. Jitafakari.
Mpira ni burudani wala siyo ugomvi
 
Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji na siyo kukata viuno kigodoro na singeli!

Burudani ni makombe na mataji!

Piga vita zero!
 
Umetumia miaka 5 kupata hizo points 35. Mimi nimetumia mwaka mmoja kufikia points 20. Kwa maana nyingine, kabla msimu uliopita haujaanza, Mimi nilikuwa na points 0.5, ila msimu unaisha nina 20.

Umeelewa ninachozungumzia au nikupe muda?
Naona unajifariji
Basi tufanye 20 ni kubwa kuliko 35. Tufanye katika timu bora za Afrika Yanga ni 8 na Simba ni ya 18.
Mlicheza shirikisho mkachukua medani na mwezi wa 10 mtaenda kucheza African Super cup.
Hapo naona roho yako imefarijika
 
Nimesikitika kwa ulichokiandika, ama kweli Rage alikuwa sahihi.

Umedandia majadiliano ambayo hayakuwa yako, alaf unajizima data.

Kuna sehemu nimesema 20 ni kubwa kuliko 35?. Kuna sehemu nimeongelea habari za position ya Yanga 18 au Simba 8?. Labda kwavile wewe ni mgumu kuelewa, ngoja nikuulize swali, msimu uliopita timu yako imekusanya points ngapi CAF?
 
Back
Top Bottom