Truth sniper
Senior Member
- Jan 22, 2012
- 130
- 202
Kwani miaka 4 mlitotoka kapa mliacha kufanya bonanza lenu, uto kama uto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka makombe mezani acha longolongo na kutetea ujinga!Kwani miaka 4 mlitotoka kapa mliacha kufanya bonanza lenu, uto kama uto
Hiyo bold unaniongopea Mimi au wajiongopea mwenyewe mtani? Au unazungumzia makundi yapi?Mafanikio makubwaa...tumekua wa 8 kwny ranks zaAfrica
Tunaingia makundi moja kwa moja...
Tunacheza super cup...
Nyie mlopata ile beji sijui cheni mnaanzia wapi? Furaha yenu iko wapi mtani?
2017-2021 Yanga haikuchukua kombe misimi 4 mfululizo.Piga vita zero!
Mpe vidonge vyake huyo Dada wala hajui nini kinaendelea!Hiyo bold unaniongopea Mimi au wajiongopea mwenyewe mtani? Au unazungumzia makundi yapi?
Kwa miaka 5 mmekusanya points 35, sisi kwa mwaka 1 tumekusanya points 20, nani wa kufurahia hapo? 😅
35 kwa 20 bado unafurahia au unajiliwaza?Hiyo bold unaniongopea Mimi au wajiongopea mwenyewe mtani? Au unazungumzia makundi yapi?
Kwa miaka 5 mmekusanya points 35, sisi kwa mwaka 1 tumekusanya points 20, nani wa kufurahia hapo? 😅
Kwa hiyo mnaiga Yanga kusherehekea zero! Hoja mfu sana hiyo!2017-2021 Yanga haikuchukua kombe misimi 4 mfululizo.
Je, hawakufanya sherehe ya Yanga Daya?
Unateseka ukiwa wapi?
Mwenzako wa utopolo anamuomba mungu Mickson avunjike mguu.Kwa hiyo mnaiga Yanga kusherehekea zero! Hoja mfu sana hiyo!
Piga vita zero Simba!
Acha kelele weka makombe na mataji mezani Mama Samia aone vinginevyo ni ukuda tu!35 kwa 20 bado unafurahia au unajiliwaza?
2017-2021 Yanga haikichukua kombe misimu 4 mfululizo. Walisheherekea?Acha kelele weka makombe na mataji mezani Mama Samia aone vinginevyo ni ukuda tu!
Hoja mezani ni piga vita zero Simba, Mickson ndiyo mwokozi wenu?Mwenzako wa utopolo anamuomba mungu Mickson avunjike mguu.
Unateseka ukiwa wapi?
2017-2021 Yanga haikuchukua kombe misimu 4 mfululizo.
Aliyewaita utopolo hakukosea
Nizeeke mara mbili!2017-2021 Yanga haikichukua kombe misimu 4 mfululizo. Walisheherekea?
Utakuwa mchawi wewe, angalia utazeeka mapema sana
Akiona ili iweje? Hatuna makombe wala mataji. Wewe unatakaje?Acha kelele weka makombe na mataji mezani Mama Samia aone vinginevyo ni ukuda tu!
Umetumia miaka 5 kupata hizo points 35. Mimi nimetumia mwaka mmoja kufikia points 20. Kwa maana nyingine, kabla msimu uliopita haujaanza, Mimi nilikuwa na points 0.5, ila msimu unaisha nina 20.35 kwa 20 bado unafurahia au unajiliwaza?
Kwa hiyo mmeamua kumuonyesha jinsi mlivyo mahiri kucheza kigodoro na singeli?Akiona ili iweje? Hatuna makombe wala mataji. Wewe unatakaje?
Utazeeka mapema. Mpira ni burudani ila wewe unachukulia uadui.
Mpira ni burudani wala siyo vita. Umezeeka kwa roho mbaya wala siyo umri wako wa kuuzeeka.Nizeeke mara mbili!
Piga vita zero Simba!
Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji na siyo kukata viuno kigodoro na singeli!Mpira ni burudani wala siyo vita. Umezeeka kwa roho mbaya wala siyo umri wako wa kuuzeeka.
Timu haina mataji wala makombe bado unaionea wivu. Jitafakari.
Mpira ni burudani wala siyo ugomvi
Naona unajifarijiUmetumia miaka 5 kupata hizo points 35. Mimi nimetumia mwaka mmoja kufikia points 20. Kwa maana nyingine, kabla msimu uliopita haujaanza, Mimi nilikuwa na points 0.5, ila msimu unaisha nina 20.
Umeelewa ninachozungumzia au nikupe muda?
Weka makombe mezani achana na makaratasi hayo!Naona unajifariji
20 ni kubwa kuliko 35. Tufanye katika timu bora za Afrika Yanga ni 8 na Simba ni ya 18.
Nimesikitika kwa ulichokiandika, ama kweli Rage alikuwa sahihi.Naona unajifariji
Basi tufanye 20 ni kubwa kuliko 35. Tufanye katika timu bora za Afrika Yanga ni 8 na Simba ni ya 18.
Mlicheza shirikisho mkachukua medani na mwezi wa 10 mtaenda kucheza African Super cup.
Hapo naona roho yako imefarijika