Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
1. Nadhani kila msimu points zinakusanywa.Mimi nina akili zangu timamu, naomba twende sawa kwa kujibu hoja zifuatazo
1. CAF wanahesabu point za klab kwa muda gani?
2. Je unajua kuwa kwa msimu huu pekee simba kakusanya point 15 kwa kuishia robo fainali na yanga kukusanya point 20 kwa kucheza fainali?
3. Je, wakati simba anakusanya poimt 10 miaka ya nyuma yanga ilikuwa haijaanzishwa?
4. Kama ilikuwepo nini kilitokea mpaka isikusanye point hata moja?
5. Vipi kuhusu ubora wa klab kwa ranking za kimataifa?
2. Najua kuhusu Yanga, Sina uhakika na points mlizokusanya nyie msimu uliopita.
3 & 4. Ilikuwa imeanzishwa, ila performance yake haikuwa nzuri.
5. Ranking Simba Iko juu zaidi ya Yanga, hii ni kutokana na performance yenu kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita.
Sasa turudi kwenye hoja ya msingi iliyokuwepo mezani. Nyie mna points 35, mmetumia muda gani kuzikusanya, mkilinganisha na sisi wenye 20?