kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
Sisi ndio waasisi wa haya matamasha, lengo halikuwa hilo unalowaza wewe, kaa tuliza fuvu ujue kwanini tulianzisha tamasha hili,.Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
NB ; huu ni mwaka wa 14 wa tamasha hili, usikaze fuvu uto wewe
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app