Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Kunywa maji mengi sana. Kama amepata zero. Mbona unateseka?
Nyie ni wananchi, hawakukosea. Wenye nchi kesho wanajambo lao.
Andamana uchi
Wenye nchi ndiyo wanyama gani? Sisi ni wananchi!
 
Umeandika utopolo
Kama siyo ranking hayo makombe yana maana gani kama unaishia kucheza shirikisho? Kuchukua makombe yanamaana kuwa wewe ni timu bora. Sasa kwanini mshindi wa pili anakuzidi wakati hata msimu uliopita ulichukua kombe na ngao ya jamii?
Kwa akili za wanayanga ndiyo maana mkaitwa wananchi na mkashindwa kutamka neno Young Africans mkaishia Yanga.
Unateseka ukiwa wapi Utopolo FC?
Punguza kujielezea weka makombe mezani
 
Duuh umewashika pabaya saa hizi wapo hoi bin taabani!
 
Back
Top Bottom