Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Google timu bora Afrika, weka list hapa.Sasa mbona mnahangaikia ngao ya Jamii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google timu bora Afrika, weka list hapa.Sasa mbona mnahangaikia ngao ya Jamii?
Hivi zero zikiwa nyingi ni ZEROS eh?Tulia upelekewe moto bado kuvaa shanga na bikini
Ni kwa sababu ni ma mbumbumbu kama alivyowaita Aden Rage!Kama hawajapata makombe lakini hamasa ni kubwa hivi Basi inamaanisha mashabiki wanaimani na wanaujua ubora wa timu yao, tofauti na yanga iliyopata makombe na bado hamasa ipo chini kujaza tu uwanja wameshindwa inaonekana mashabiki hawana uhakika na yanayokuja mbele timu haina ushawishi
Halafu mnazungusha yaani makombe sifuri!wanachokifanya Simba sio sherehe Bali ni utamaduni wao waliouanzisha zaidi ya miaka 10 iliyopita,mmejaribu kuiga lakini hamujaweza kufikia kiwango Cha Simba na hicho ndio kinakusumbua.
ranking sio kombe punguza kujitetea ujinga.Mbona mnateseka sana?
Mechukua makombe yote lkn bado mkaishia kucheza shirikisho na bado mkawa wa 18.
Ubora wa timu wa Yanga tunaupima wapi?.
Hebu google timu bora Afrika, uweke list hapa
Unataka kusema huwa hufurahii hata kumuona tu msanii wao bora wa muda wote (Tundaman) akiingia uwanjani huku akiwa ndani ya jeneza!! ⚰️Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Hapana huwa naomboleza!Unataka kusema huwa hufurahii hata kumuona tu msanii wao bora wa muda wote (Tundaman) akiingia uwanjani huku akiwa ndani ya jeneza!! ⚰️
Hapa tunajadili ZEROS za Simba! Tunataka maelezo.Pamoja na makombe lakini uwanja ulikuwa tupu sasa nyie msaidiweje?
Utawaua ujue wewe! Marungu haya yanapita bila majibu!Tujadili misimu miwili iliyopita mliyoambulia ZERO!
Tujadili miaka sita nyuma sio miwiliHapa tunajadili ZEROS za Simba! Tunataka maelezo.
Tujadili maendeleo ya hizi timu kwa misimu mitano kama CAF wanavyotoa takwimu acheni uhuniUtawaua ujue wewe! Marungu haya yanapita bila majibu!
Maswali yote uliyomuuliza majibu yake yapo hapo hapoLabda nisaidie kufahamu ni lini mashabiki wa Makolo walitengana au kufarakana? Aidha ni wakati gani hawakutekeleza majukumu yao kwa ufasaha? Na mwisho mapato gani yameongezeka wakati watu wameingizwa karibu na bure kwa maelezo kuwa Simba inarudisha fadhila kwa mashabiki wake!
Ni vema mngemualika Joketi aanzishe kampeni ya kufuta zero kama alivyofanya alipokuwa DC Kisarawe badala ya kumualika Rais Samia kumuonyesha barua za mialiko!Tujadili miaka sita nyuma sio miwili
Sawa anzisheni kampeni ya kufuta zero kwa msaada wa Joketi badala kumsumbua Rais Samia kuona barua ya mwaliko!Hata wewe uliwahi kuwa na tamasha tena zuri tu bila kuwa na kikombe hata cha kahawa na lilifana sana, sema binadamu tumeumbiwa kusahau, siku ya kula nyama kawaida kutukana maharage.
Ukiwa bwege bwana ni bwege tuuuSawa anzisheni kampeni ya kufuta zero kwa msaada wa Joketi badala kumsumbua Rais Samia kuona barua ya mwaliko!
Wapumbavu kama wewe ndiyo mnasababisha timu yenu iambulie sifuri katika kuwania makombe na mataji!Ukiwa bwege bwana ni bwege tuuu
Mpira sio kombe pekee Kuna vitu vingi ndani yake, malengo ya simba day sio kusherekea makombe, kwaiyo kisming wew ni mjinga mmoja ulie amua kutafuta furaha kwa kuficha wivu na maumivu ya mafanikio ya simba,
Kwenye kila jambo mtu anatakiwa kuiangalia kusudi na malengo yake ni yep Sasa ni Sawa na mtu alie amua kufuga kuku mbwa paka badala ya kufuga sungura wew utamuona mjinga ila lengo lake alikuwa kula nyama