Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.Team bora ulaya haziwekuwemo kwenye mpango wa super league ndo maana wenzetu wakaona ni ushuzi wakapiga chini
Huku utakuta kolo linacheka kama nibishu kubwa
Man city
Psg
Atletico
Buyern
Leipzig
N.k
Hazikuwepo
NBC premier leagueHayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.
Huwezi kujigamba una mataji na makombe halafu ukacheza kombe la washindi wa 3 na 4 na waliotolewa CAF champion league.
Malumo timu bora kwenu ameshuka daraja
* Ubora wa timu ya Yanga tunaupima wapi km ndiyo alicheza shirikisho*?
Ubora wa kutokuwa na mataji! 🙆🙆Sawa ila bado Simba ni timu bora Tanzania na Afrika. Yupo kwenye kumi bora halafu waliochukua makombe wapo nafasi ya 18.
Mataji na makombe ambayo Simba hakufua dafu ni ya mchongo! Sasa kwa nini mlishiriki halafu mkaambulia sifuri!Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.
Huwezi kujigamba una mataji na makombe halafu ukacheza kombe la washindi wa 3 na 4 na waliotolewa CAF champion league.
Malumo timu bora kwenu ameshuka daraja.
Wivu na mmezungusha ( mduara )!Yani bora msianzishe uzi za simba Day mtulie tuu..maana dhahiri shahiri ni wivu mtupuuu...
Shangaa na wewe 😱😃😃😃We jamaa bana😃
Uanaume unapimwa kwa kuwa na mataji na siyo barua ya posa!Wanaume kuwa na wivu wa kike ni aibuuu
Sawa.Mataji na makombe ambayo Simba hakufua dafu ni ya mchongo! Sasa kwa nini mlishiriki halafu mkaambulia sifuri!
Sawa usijali wa hovyo.Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi WA Simba.
NAUNGA MKONO HOJA.
UMEANDIKA KWELI TUPU.
WANAAMINI TIMU YAO IMEFUFUKA KUMBE IMEFANYA USAJILI WA HOVYO
Shirikisho ni kombe la Afrika au la Tanzania?Sawa usijali wa hovyo.
Kama Yanga ipo vizuri kwanini ilicheza shirikisho?
We kweli kichaaaKucheza
1. CAF champion league mpk robo fainail ni zaidi ya makombe
2. African super cup ni zaidi ya makombe
3. Kuwa kwenye 10 bora za timu bora Afrika ni moja ya makombe.
A. Hayo makombe Simba haijawahi kuchukua?
B. Hayo makombe ambayo yanga amechukua, yanafika 4 bilion alizopewa Simba km hela ya maandalizi ya kucheza African Super Cup?
Yanga walichukua makombe hata msimu uliopita walichukua.Shangaa na wewe 😱
Usipoteze nguvu zako hapo chief....! Kama anajisifia kushiriki mashindano na si kutwaa mataji huoni kuna kitu kimemiss kwa mtaalam hapo?.. Mtu anajisifia rank? [emoji119]Shirikisho ni kombe la Afrika au la Tanzania?
Mnasherekea au mnaomboleza?Usitufokee kaa kwa kutulia ukweli ni kwamba sisi ndio tumeshika ukurasa wa nchi kwa mwezi mzima mfululizo tuna jambo letu kesho [emoji950]
Unateseka ukowa wapi ??? Tujue kwanzaMoja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Ubora wa Yanga ni makombe matatu na kufika fainali ya kombe la shirikisho la Afrika!Yanga walichukua makombe hata msimu uliopita walichukua.
Kwanini sasa mlitolewa CAF champion league kwenye mechi mbili?
Ubora wa Yanga tunaupima wapi?
Google tumu bora za Afrika utajua Simba ni nani
Kweli wewe ni utopolo. Imewauma sana Simba kufanya sherehe, msimu huu Yanga inabidi irudi mapema icheze hapa bongoWe kweli kichaaa