Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Wewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.
Pamoja na vikombe vyote lkn bado timu bora barani Afrika kutoka Tanzania ni Simba.
Ngoja wanaume tukacheze African Super cup, wewe ubaki na vikombe vyako vya milion 200
Badala ya kuomboleza mnasherekea, hivi mna akili sawa sawa kweli?
 
1. Tunasherehekea kucheza CAF champion league mpk robo fainail
2. Kucheza African Super cup
3. Kuchukua bilion 4 za African Super cup
Kwa hiyo mnasherekea kupata barua ya mwaliko! Na hiyo barua ndiyo mtakayomuonyesha Samia! Kweli mbumbumbu!
 
Kwa hiyo tufanye nini?
Umechukua vikombe lkn umeishia
1. Kutolewa CAF champion league. Umecheza mechi mbili tu. Hapa nilitegemea mtatoboa mpk fainail
2. Meishia kucheza shirikisho (Kombe la walioshindwa)
Kucheza shirikisho mpk fainali lkn hamjafika kokote.
Simba hajachukua vikombe lkn anacheza African Super cup ambapo kwenu ni ndoto ya alinacha.
Acheni kelele, mtulie wenye nchi wakiwa wanasherehekea. Simba ipo katika timu bora 10 Afrika.
Yanga ni ya 18
 
Wewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.
Pamoja na vikombe vyote lkn bado timu bora barani Afrika kutoka Tanzania ni Simba.
Ngoja wanaume tukacheze African Super cup, wewe ubaki na vikombe vyako vya milion 200
Team bora ulaya haziwekuwemo kwenye mpango wa super league ndo maana wenzetu wakaona ni ushuzi wakapiga chini

Huku utakuta kolo linacheka kama nibishu kubwa

Man city
Psg
Atletico
Buyern
Leipzig
N.k
Hazikuwepo
 
Kwa hiyo mnasherekea kupata barua ya mwaliko! Na hiyo barua ndiyo mtakayomuonyesha Samia! Kweli mbumbumbu!
Simba ni timu bora Afrika. Ipo kwenye orodha ya timu 10 bora Afrika huku Yanga ikiwa ya 18.
Kaeni kwa kutulia tu, nyie ushindi wenu mkichukua vikombe hivi.
Safari hii sheria imebadilika, ukitilewa CAF Champion league imeisha hiyo
 
Umechukua vikombe lkn umeishia
1. Kutolewa CAF champion league. Umecheza mechi mbili tu. Hapa nilitegemea mtatoboa mpk fainail
2. Meishia kucheza shirikisho (Kombe la walioshindwa)
Kucheza shirikisho mpk fainali lkn hamjafika kokote.
Simba hajachukua vikombe lkn anacheza African Super cup ambapo kwenu ni ndoto ya alinacha.
Acheni kelele, mtulie wenye nchi wakiwa wanasherehekea. Simba ipo katika timu bora 10 Afrika.
Yanga ni ya 18
Pamoja na yote makombe ya ndani ambayo mlishiriki mmeambulia sifuri!
 
Team bora ulaya haziwekuwemo kwenye mpango wa super league ndo maana wenzetu wakaona ni ushuzi wakapiga chini

Huku utakuta kolo linacheka kama nibishu kubwa

Man city
Psg
Atletico
Buyern
Leipzig
N.k
Hazikuwepo
Wivu utawaua nyie. Km hakuna kwanini nyie utopolo hamuendi kucheza Super cup?
CAF champion league mlicheza mechi mbili. Nasema uongo ndugu zangu?
 
Simba ni timu bora Afrika. Ipo kwenye orodha ya timu 10 bora Afrika huku Yanga ikiwa ya 18.
Kaeni kwa kutulia tu, nyie ushindi wenu mkichukua vikombe hivi.
Safari hii sheria imebadilika, ukitilewa CAF Champion league imeisha hiyo
Ubora wa kutokuwa na taji lo lote la Ndani!
 
Wivu utawaua nyie. Km hakuna kwanini nyie utopolo hamuendi kucheza Super cup?
CAF champion league mlicheza mechi mbili. Nasema uongo ndugu zangu?
Ndani hamna hata taji moja yaani mna sifuri, kweli uongo?
 
Pamoja na yote makombe ya ndani ambayo mlishiriki mmeambulia sifuri!
Sawa ila bado Simba ni timu bora Tanzania na Afrika. Yupo kwenye kumi bora halafu waliochukua makombe wapo nafasi ya 18.
 
Yani bora msianzishe uzi za simba Day mtulie tuu..maana dhahiri shahiri ni wivu mtupuuu...
 
Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.

Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
😃😃😃We jamaa bana😃
 
Ndani hamna hata taji moja yaani mna sifuri, kweli uongo?
Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.
Huwezi kujigamba una mataji na makombe halafu ukacheza kombe la washindi wa 3 na 4 na waliotolewa CAF champion league.
Malumo timu bora kwenu ameshuka daraja.
 
Yani bora msianzishe uzi za simba Day mtulie tuu..maana dhahiri shahiri ni wivu mtupuuu...
Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.
Huwezi kujigamba una mataji na makombe halafu ukacheza kombe la washindi wa 3 na 4 na waliotolewa CAF champion league.
Malumo timu bora kwenu ameshuka daraja
 
Back
Top Bottom