Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Umeandika utopoloranking sio kombe punguza kujitetea ujinga.
Kama siyo ranking hayo makombe yana maana gani kama unaishia kucheza shirikisho? Kuchukua makombe yanamaana kuwa wewe ni timu bora. Sasa kwanini mshindi wa pili anakuzidi wakati hata msimu uliopita ulichukua kombe na ngao ya jamii?
Kwa akili za wanayanga ndiyo maana mkaitwa wananchi na mkashindwa kutamka neno Young Africans mkaishia Yanga.
Unateseka ukiwa wapi Utopolo FC?