Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Endeleeni kujifariji utopolo FC. Mkija kushituka Simba itakuwa kwenye timu 5 bora barani Afrika.
Hapo Yanga ana makombe yote ya ligi kuu, mapinduzi na ngao.
 
Endeleeni kujifariji utopolo FC. Mkija kushituka Simba itakuwa kwenye timu 5 bora barani Afrika.
Hapo Yanga ana makombe yote ya ligi kuu, mapinduzi na ngao.
Nimekuuliza msimu uliopita timu yako imekusanya points ngapi CAF? Acha kuzunguka, naomba unijibu
 
Jidanganye hivyo hivyo
 
Haya ni makombe yako.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Makombe mnayoizidi nayo Yanga ni makombe ya Hedex.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.
Huwezi kujigamba una mataji na makombe halafu ukacheza kombe la washindi wa 3 na 4 na waliotolewa CAF champion league.
Malumo timu bora kwenu ameshuka daraja.
Kama ni mashindano marahisi, tuambie mllivyoshiriki mliishia hatua gani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mavi ya kale hayanuki!

Sasa unasherekea au unaomboleza kukosa makombe na mataji!

Piga vita zero Simba!
Mkuu kunywa maji baridi, naona unateseka sana. Moja bila huko!.
 
wamevurugwa
 
Naona unateseka sana.
Kama Yanga ipo vizuri, tukutane African Super cup.
Simba inawakera watu. Mashabiki wa yanga wanateseka sana
Ndicho kikombe mnataka kutuonyesha au mnashindania kikombe?

Jitahidini mpate angalau kikombe cha kufutia machozi!
 
Ndicho kikombe mnataka kutuonyesha au mnashindania kikombe?

Jitahidini mpate angalau kikombe cha kufutia machozi!
Vikombe tunawaachia utopolo ndiyo mafanikio yao. Maana African champion league hawawezi kucheza.
2017-2021 misimu 4 mfululizo inatutosha.
Simba tunataka tuitafute list ya timu 5 bora barani Afrika.
Msimu ujao, tunaenda kuweka kambi NEW YORK CITY.
 
Mnatia huruma! Mnasherekea barua ya mwaliko kama siyo uzuzu ni nini!

Weka makombe mezani hata kama ni la ndondo!
 
Kabla sijaukuuliza maswali nilianza kuandika kama kweli unafikira pevu twende sawa kwa kujibu hoka zangu, ila kwakuwa umeshinfwa kujibu ukakimbilia mipasho, mimi sio juha wa kukimbilia mipasho bali napenda kujibiana kwa hoja

Endelea na mipasho yako
 
Hiyo bold unaniongopea Mimi au wajiongopea mwenyewe mtani? Au unazungumzia makundi yapi?

Kwa miaka 5 mmekusanya points 35, sisi kwa mwaka 1 tumekusanya points 20, nani wa kufurahia hapo? [emoji28]
Mimi nina akili zangu timamu, naomba twende sawa kwa kujibu hoja zifuatazo

1. CAF wanahesabu point za klab kwa muda gani?

2. Je unajua kuwa kwa msimu huu pekee simba kakusanya point 15 kwa kuishia robo fainali na yanga kukusanya point 20 kwa kucheza fainali?

3. Je, wakati simba anakusanya poimt 10 miaka ya nyuma yanga ilikuwa haijaanzishwa?

4. Kama ilikuwepo nini kilitokea mpaka isikusanye point hata moja?

5. Vipi kuhusu ubora wa klab kwa ranking za kimataifa?
 
Umetumia miaka 5 kupata hizo points 35. Mimi nimetumia mwaka mmoja kufikia points 20. Kwa maana nyingine, kabla msimu uliopita haujaanza, Mimi nilikuwa na points 0.5, ila msimu unaisha nina 20.

Umeelewa ninachozungumzia au nikupe muda?
Kumbe akili unazo alafu unajichetua, hiyo 0.5 ulitumia miaka mingapi kuipata?
 
Kumbe akili unazo alafu unajichetua, hiyo 0.5 ulitumia miaka mingapi kuipata?
Sasa wewe ndio unajichetua mkuu, maana ulidandia mada juu kwa juu, otherwise usingeuliza ili swali.

Rejea mwanzo wa huu mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…