Badala ya kuomboleza mnasherekea, hivi mna akili sawa sawa kweli?Wewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.
Pamoja na vikombe vyote lkn bado timu bora barani Afrika kutoka Tanzania ni Simba.
Ngoja wanaume tukacheze African Super cup, wewe ubaki na vikombe vyako vya milion 200
1. Tunasherehekea kucheza CAF champion league mpk robo fainailBadala ya kuomboleza mnasherekea, hivi mna akili sawa sawa kweli?
Kwa hiyo tufanye nini?Simba day toka 2008 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unaimia pole mwana utopolo.
Kwa hiyo mnasherekea kupata barua ya mwaliko! Na hiyo barua ndiyo mtakayomuonyesha Samia! Kweli mbumbumbu!1. Tunasherehekea kucheza CAF champion league mpk robo fainail
2. Kucheza African Super cup
3. Kuchukua bilion 4 za African Super cup
Umechukua vikombe lkn umeishiaKwa hiyo tufanye nini?
Utulie na habari za utopolo, Simba day haikuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo tufanye nini?
Team bora ulaya haziwekuwemo kwenye mpango wa super league ndo maana wenzetu wakaona ni ushuzi wakapiga chiniWewe ni utopolo FC kweli tena wale lia lia.
Pamoja na vikombe vyote lkn bado timu bora barani Afrika kutoka Tanzania ni Simba.
Ngoja wanaume tukacheze African Super cup, wewe ubaki na vikombe vyako vya milion 200
Mashindano ya kuteuliwaM
Makombe yako yamekupeleka wapi jirani...
Simba ni timu bora Afrika. Ipo kwenye orodha ya timu 10 bora Afrika huku Yanga ikiwa ya 18.Kwa hiyo mnasherekea kupata barua ya mwaliko! Na hiyo barua ndiyo mtakayomuonyesha Samia! Kweli mbumbumbu!
Pamoja na yote makombe ya ndani ambayo mlishiriki mmeambulia sifuri!Umechukua vikombe lkn umeishia
1. Kutolewa CAF champion league. Umecheza mechi mbili tu. Hapa nilitegemea mtatoboa mpk fainail
2. Meishia kucheza shirikisho (Kombe la walioshindwa)
Kucheza shirikisho mpk fainali lkn hamjafika kokote.
Simba hajachukua vikombe lkn anacheza African Super cup ambapo kwenu ni ndoto ya alinacha.
Acheni kelele, mtulie wenye nchi wakiwa wanasherehekea. Simba ipo katika timu bora 10 Afrika.
Yanga ni ya 18
Wa hiyo mnaomboleza au!Utulie na habari za utopolo, Simba day haikuhusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu utawaua nyie. Km hakuna kwanini nyie utopolo hamuendi kucheza Super cup?Team bora ulaya haziwekuwemo kwenye mpango wa super league ndo maana wenzetu wakaona ni ushuzi wakapiga chini
Huku utakuta kolo linacheka kama nibishu kubwa
Man city
Psg
Atletico
Buyern
Leipzig
N.k
Hazikuwepo
Ubora wa kutokuwa na taji lo lote la Ndani!Simba ni timu bora Afrika. Ipo kwenye orodha ya timu 10 bora Afrika huku Yanga ikiwa ya 18.
Kaeni kwa kutulia tu, nyie ushindi wenu mkichukua vikombe hivi.
Safari hii sheria imebadilika, ukitilewa CAF Champion league imeisha hiyo
Ndani hamna hata taji moja yaani mna sifuri, kweli uongo?Wivu utawaua nyie. Km hakuna kwanini nyie utopolo hamuendi kucheza Super cup?
CAF champion league mlicheza mechi mbili. Nasema uongo ndugu zangu?
Sawa ila bado Simba ni timu bora Tanzania na Afrika. Yupo kwenye kumi bora halafu waliochukua makombe wapo nafasi ya 18.Pamoja na yote makombe ya ndani ambayo mlishiriki mmeambulia sifuri!
Mbumbumbu ni watu wa ajabu muda wa kuhuzunika ndo wanashangaliaNdani hamna hata taji moja yaani mna sifuri, kweli uongo?
😃😃😃We jamaa bana😃Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.Ndani hamna hata taji moja yaani mna sifuri, kweli uongo?
Hayo mataji aliyochukua Yanga ni ya mchongo.Yani bora msianzishe uzi za simba Day mtulie tuu..maana dhahiri shahiri ni wivu mtupuuu...