Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

Kabla ya Kukutana na Yanga tulikuwa Unbeaten na furaha ilikuwepo..!!

Baada ya Kukutana na Yanga
-Tumekula Tano
-Tumefukuza Kocha
-Tume Draw Mechi Ya Leaue
- Now Tumefungiwa Kusajiri.

Yanga Ruined our Club, I hate Yanga Africa Official..[emoji24][emoji24]

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu, sisi ndiyo Yanga bhana
 
Bila shaka kuna watakaosema GSM kahonga hadi FIFA kwa kumtuma engineer Hersi.... Au nasema uongo ndugu zangu?
Hao yanga wanadaiwa hadi na mtu aliyewaita manyani sembuse simba
 
Kule kaenda kula pesa tu

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Jamaa anakula euro 860 kwa week, hii ni sawa na milioni 9 kwa mwezi, ukiweka gharama za maisha ya ufaransa ni pesa mbuzi sana Hio.... wachezaji Wengi tu bongo wanamkimbiza

Screenshot_20231123-154649~2.jpg
 
Back
Top Bottom