Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Wa kwanza alikuwa mamangu mdogo, kabla hata sijaanza shule nikiwa mdogo sana nikikosea chochote ananiita “Shabiki wa Yanga wewe”Ukiendesha club kubwa ya soka hayakosekani haya, ndiyo maana hata Yanga wanasumbuliwa na yule kocha wenu DJ mpaka leo, naye jambo lake liko FIFA.
Ni kawaida tu haya kwenye dunia ya soka. Hata mi naweza aliyefanya ukawa Utopolo, yaani kafanya tuwe na shida sana hata kwenye mazungumzo yetu. lol
Ova
Ajabu nikawa napenda nacheka tu.
Baadae sasa nimeanza STD 1 mwaka 2000, nikawa najua kusoma nikasoma gazeti la Majira upande wa michezo kukawa na heading “Yanga yawasha indiketa” kukiwa na picha ya Said Maulid SMG…
Pale ndio nilikata shauri la kuwa Yanga kamili, hadi leo b…