Pole sana mkuu, sisi ndiyo Yanga bhanaKabla ya Kukutana na Yanga tulikuwa Unbeaten na furaha ilikuwepo..!!
Baada ya Kukutana na Yanga
-Tumekula Tano
-Tumefukuza Kocha
-Tume Draw Mechi Ya Leaue
- Now Tumefungiwa Kusajiri.
Yanga Ruined our Club, I hate Yanga Africa Official..[emoji24][emoji24]
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Anytime after payingHuu msimu Simba kama tumerogwa
Naomba niulize hiki kifungo kinaondoka msimu huu utakapoisha au inakaaje hapo?
Walikula pesa ya rambirambi ya Mafisango sembuse ya mauzo ya Sakho!Safi Sana hata pesa za mauzo walificha, na zote inaelekea kachukua mo, Mangungu na try again. Wafanye hivyo mpaka wanachama was Simba wapate akili waache kudanganywa kuletewa kina Manzoki.
SawaNi mpaka pale mtakapolipa deni. Mwamedi akilipa hilo deni, na kifungo nacho kinafutwa Bwashee.
Asante
SawaAnytime after paying
Kule kaenda kula pesa tuSakho nae kaenda kujichimbia kaburi
Hajawahi hata kuanza kwenye Hio timu, ameingia sub mechi 2 tu na kacheza dakika 9 Kila mechi... Naona Simba msimu ujao wakiona washabiki Wana hasira watakurupuka kumrejesha kama miquisson
Hao yanga wanadaiwa hadi na mtu aliyewaita manyani sembuse simbaBila shaka kuna watakaosema GSM kahonga hadi FIFA kwa kumtuma engineer Hersi.... Au nasema uongo ndugu zangu?
Jamaa anakula euro 860 kwa week, hii ni sawa na milioni 9 kwa mwezi, ukiweka gharama za maisha ya ufaransa ni pesa mbuzi sana Hio.... wachezaji Wengi tu bongo wanamkimbiza
Wanamtaka max tenahSimmeanza wenyewe mnamtaka max sasa ngoja dawa iwaingie, ikitokea mkafungwa Tena kuna dalili ya bakora kutembea msimbazi
Pole mkuu. Naona umeandika kwa uchungu sana.hii klabu sasa imeamua kutuua
Misimu mitatu mbele baada ya msimu huu kumalizika Simba wanasimba watakuwa wamepata taabu sana . Wakati huo timbwili litarudi kwa wanayanga.Huu msimu Simba kama tumerogwa
Naomba niulize hiki kifungo kinaondoka msimu huu utakapoisha au inakaaje hapo?
Wakisha lipa tu basi mbona simba ilikuwa ikipata pesa kwa SAMATA sasa iweje simba wasitoe asilimia kwa wenzao huu ni uroho tena unaweza kuta pesa waligawana kama haikuwa na mwenyeweHuu msimu Simba kama tumerogwa
Naomba niulize hiki kifungo kinaondoka msimu huu utakapoisha au inakaaje hapo?
Hivi vilabu ndo mfumo wao wa maisha kutesa kwa zamuMisimu mitatu mbele baada ya msimu huu kumalizika Simba wanasimba watakuwa wamepata taabu sana . Wakati huo timbwili litarudi kwa wanayanga.
Tunza hii comment kwa kumbukumbu za mbeleni
Karia atawalipiaKlabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho.
Asante kwa taarifaWakisha lipa tu basi mbona simba ilikuwa ikipata pesa kwa SAMATA sasa iweje simba wasitoe asilimia kwa wenzao huu ni uroho tena unaweza kuta pesa waligawana kama haikuwa na mwenyewe