Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

Wa kwanza alikuwa mamangu mdogo, kabla hata sijaanza shule nikiwa mdogo sana nikikosea chochote ananiita “Shabiki wa Yanga wewe”
Ajabu nikawa napenda nacheka tu.

Baadae sasa nimeanza STD 1 mwaka 2000, nikawa najua kusoma nikasoma gazeti la Majira upande wa michezo kukawa na heading “Yanga yawasha indiketa” kukiwa na picha ya Said Maulid SMG…

Pale ndio nilikata shauri la kuwa Yanga kamili, hadi leo b…
 
Mambo yetu haya ndugu yangu.

Tulikubaliana hakuna kuwaonea huruma mpaka wasivuke makundi kwanza, karibia mambo yataanza.
Yaani hizi habari zinanenepesha mifupa yangu.Asec soon watatupatia furaha tena.Tukazane kwenye maombi rafiki yangu haha
 
Dah! Kumbe shida ilianzia hapo? Mama mdogo katuletea shida kubwa sisi wengine huku, vile tu tunakupenda ndiyo maana tuko tu na wewe na hiyo Yanga yako. Lol

Ova
 
Dah! Kumbe shida ilianzia hapo? Mama mdogo katuletea shida kubwa sisi wengine huku, vile tu tunakupenda ndiyo maana tuko tu na wewe na hiyo Yanga yako. Lol

Ova
Mimi mission yangu kuu ni kuipata kadi yako ya uwanachama, utalia nakwambia nitakachoifanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…