Mdogo wake na Elie mpanzu anayefahamika kwa jina la Harmony Mpanzu aliondoka nchini Congo kwenye mji wa kinshansa Mida ya mchana na ndege ya Ethiopia kuja nchini Tanzania kumsuport kaka yake kwenye fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika CAF.
Tayari ameshawasili nchini Tanzania na ataekea Zanzibar Mida ya mchana na kupokelewa na ndugu yake Elie mpanzu.
Haji Manara Amesema Sio kwamba Wao Mashabiki wa Yanga hawapendi Ubingwa ubakie Nchini Tanzania wanapenda sana lakini shida Baada huo Bingwa kelele zinaelekezwa Kwao
Hivyo Haji Manara Amesema kuepusha yote hayo ili Nchi ibakie kwenye utulivu Bora Ubingwa Ubebwe na RS Berkane na kama Wana Simba Wanahitaji Dua za Wanayanga basi waahidi kuwa hawata Wabugudhi
"Siyo kwamba Wanayanga na Wananchi hatutaki kombe libaki Tanzania,Shida kelele zitakuwa nyingi mno Nchi hii, Tutakosa raha Mwaka mzima na mitandaoni tutakuona kama kituo cha Polisi!!
Imagine hawajachukua hicho kikombe washatoa hadi ratiba ya Sherehe,,eti kombe likitoka Zanzibar liende Bungeni kisha Msimbazi na baadae eti lipelekwe kwa Mkapa!! Ahhh bhana eeh, bora tukose wote maana vinginevyo katuni zetu zitajaa katika kila platform.
Kheri ya lawama kuliko fedheha Au mtuahidi hamtasema na ahadi itolewe na Mudi mwenyew 🤪😛😛😛
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.