Simba sports club familia kuuubwa

Simba sports club familia kuuubwa

Kila La Heri Simba Sports Club
One Team, One Dream

N G V U M O J A
 
Siku unafufuliwa unakuwa nyuma ya bendera yao ukiwafuata kuelekea jehannam ndio utajua kuwa hayo sio uliyoletewa kuyafanya hapa duniani, ,nimewaamsha tu ili ujue dunia yaani mwisho wa dunia imebakiza kama miaka 70.
 
IMG-20250514-WA0024.jpg
 
#MICHEZO "Kwa mujibu wa taarifa nilizonazo CAF wanaweza kuuthibitisha uwanja wa Amaan Complex badala ya Benjamin Mkapa kutumika kwenye fainali ya pili ya Kombe la shirikisho Afrika.

Viongozi wa #SimbaSC na Serikali wanaendelea kupambana ili mechi ichezwe Benjamin Mkapa, taarifa zaidi itakuja"

✍️ Ameandika "Nassib Mkomwa"

#SallyTV #NiZaidiYaBurudani
1747290366912.jpg
 
LEO MAGORI AMECHAFUKWA

"Hii imeshakuwa ni KASHFA, Berkane walibook Hoteli visiwani Zanzibar jana Mei 14, Simba SC ilipokea barua ya kupendekeza mabadiliko ya uwanja asubuhi ya leo ya Mei15, Inakuwaje Klabu mwenyeji pamoja na Shirikisho hawakufahamu uamuzi wa CAF tangu jana lakini Berkane alikuwa anajua?, Je, Berkane walikuwa sehemu ya mchakato wa kufanya maamuzi ya CAF?. Crescentius Magori
1747328122657.jpg
 
NILIWAAMBIA KUWA ACHENI KELELE, SIMBA NI LIDUDE LIKUUUBWA KIKO WAPI KIMEWASHUKA 😄

Wale wote mliofurahia Simba kwenda Zanzibar njooni Muwafariji ndugu zenu Berkane hapa

Pyeeeeeeeeeeeeeeeee
1747343075147.jpg
 
"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?

CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.

Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.

Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."

BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
1747346823100.jpg
 
Timu yetu imetua Mji ambao mechi itachezwa tayari kwa Mazoezi ya mwisho hapo kesho kabla ya mechi Jumamosi
FB_IMG_1747362276666.jpg
 
"Kweli Yanga mmeweka gari mafuta mmekwenda mpaka Bunju kutaka mechi...ifike mahala kabla ya ligi kuanza hata viongozi WA Yanga na madereva wa timu
wapimwe akili....." -
.......... ✍️
@edokumwembe
 
Back
Top Bottom