Simba sports club familia kuuubwa

Simba sports club familia kuuubwa

1745817390447.jpg
 
Simba Sports Club itacheza dhidi ya RS Berkane katika fainali ya CAFCC baada ya Berkane kufungwa bao 1-0 dhidi ya CS Constantine.

Fainali ya kwanza itapigwa Mei 17 wakati fainali ya pili itapigwa Mei 25.

#sokastand #hatuachikitu
1745821008309.jpg
 
Back
Top Bottom