🦁🇹🇿 || WAZEE WA SIMBA WANASAFIRI KWENDA MOROCCO ILA WA KWAO WANATAKA VIKAO VYA HATUCHEZI!
Pichani ni Mzee wa Simba SC, Ana bendera yake ya SIMBA SC mabegani, skafu shingoni, koti mkononi na ana mkoba wake mweusi mkononi, Kama mwanajeshi aendaye vitani.
Kama ulikua humjui, uyo ndo Mzee Hasani Dalali mwenyewe na yeye ni miongoni mwa wale wanaoelekea pale morocco kwenye mechi ya fainali ya kwanza dhidi ya berkane.
Ila upande wa pili kuna Wazee wanataka Kikao na uongozi wa klabu yao wakitaka kusisitiza kuwa hawachezi.
Umeona utofauti wa Wazee wa Simba SC na wazee wao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.