Simba sports club familia kuuubwa

Simba sports club familia kuuubwa

ILA HIZI SINEMA BONGO KUISHA ITACHUKUA MUDA SANA
.

Hakuna Mchezaji waliomsimanga sana kama Elie Mpanzu Kibisawala leo hii imegeuka agenda kuwa wanamtaka yuko kwa Mkopo Simba

Niwape tu Ukweli , Mpanzu hawadai chochote Simba alishakula Mpunga wake Mapema kabisa amekunja Mi 480 kama Sign on fee ,

Hizo Propaganda ZENU Zimekufa Kifo cha kawaida Mno
1747174772737.jpg
 
SIKU ZOTE SIMBA NDIO MKALI WA HIZI MAMBO🦁🔥

Nchi na Dunia vitasimamia kusubiri utambulisho wa mchezaji Mzawa mwenye Thamani zaidi Tanzania

KARIBU UNYAMANU FAILASUFI HII NDIO SEHMU SAHIHI KWAKO 😁🦁🔥
1747174987603.jpg
🔥🔥
 
🚨#UPDATES:- Taarifa nilizonazo nazo kutoka kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Simba SC watakamilisha usajili wa mshambuliaji Agostinho Cristóvão Paciência Mabululu raia wa Angola mapema mnoo.

Inaelezwa nyota huyo anaeichezea Al Ahli Tripoli ya Libya anaenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ya Simba SC

#Sanuka_Upd
1747175088214.jpg
ates
 
Fadlu Davids anasema kipigo dhidi ya Yanga cha bao moja la kujifunga la Kijili kwenye mechi ya mkondo wa kwanza wa ligi bado kipo kwenye kichwa chake.

Fadlu akiwa kocha mkuu na msaidizi msimu uliopita akiwa Raja Casablanca amesimamia mechi 56 na amepoteza mechi tu akiwa Raja na Simba, Raja msimu uliopita walimaliza ligi ya Morocco pasipo kupoteza mechi lakini kipigo hicho kimoja dhidi ya Yanga goli la dakika za mwisho la kujifunga bado linamuumiza na hataki hayo maumivu tena.

Mahojiano na @mikemortontalksfoot
1747175461691.jpg
ball
 
Fadlu Davids anasema kipigo dhidi ya Yanga cha bao moja la kujifunga la Kijili kwenye mechi ya mkondo wa kwanza wa ligi bado kipo kwenye kichwa chake.

Fadlu akiwa kocha mkuu na msaidizi msimu uliopita akiwa Raja Casablanca amesimamia mechi 56 na amepoteza mechi tu akiwa
amepoteza mechi ngapi?
Raja na Simba, Raja msimu uliopita walimaliza ligi ya Morocco pasipo kupoteza mechi lakini kipigo hicho kimoja dhidi ya Yanga goli la dakika za mwisho la kujifunga bado linamuumiza na hataki hayo maumivu tena.

Mahojiano na @mikemortontalksfootView attachment 3333168ball
 
Ana bendera yake ya SIMBA mabegani na skafu shingoni ana koti mkononi ana mkoba wake mweusi mkononi

Huyo ndo mzee hasani dalali mwenyewe na yeye ni miongoni mwa wale wanaoelekea pale morocco kwenye mechi ya fainali ya kwanza dhidi ya berkane

Kila la kheri mzee dalali
1747176695320.jpg
 
Feisal Salum Kuvaa jezi number 8 simba msimu ujao
1747177645094.jpg
 
All the best Mnyama📌💪🏿🔨💗💗💗
Kikosi Cha Simba kimeanza Safari ya kuifuata RS Berkane nchini Morocco Kwenye mchezo wa fainali ya kwanza CAFCC🔥🔥🔥
1747177837483.jpg
 
Back
Top Bottom