rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Halafu gsm anataka tuvae logo yake kwa milioni 50 kisa kawahonga tff ndio maana hatushiriki makombe mbuzi kama cecafa na mapinduzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio tofauti ya jamii forum na mitandao mengine ya kijamii. Huku kuna watu wanakutuliza kwa hoja zenye uhalisia.Endeleeni na upuuzi wenu,ni kweli Yanga ndani ya hii miaka 4 hakuna tulichofanya mna haki ya kuwa juu yetu ila tulizeni akili basi japo kdg kuweni wafatiliaji sio kudandia dandia tu mambo juujuu mmefanya vizuri hongera zenu ila hampo no.6 muandishi hata kuandika Al ahly hawezi kaandika al ahli bado mnamuamini?View attachment 2038515
Mazuzu SC aka Ushogani fcWapi utopwinyo. Utokambwili fc ..?
😂😂😂 mmeotea tu nyie mikiaWapi utopwinyo. Utokambwili fc ..?
Hizo mbwembwe tu ubora wako onyesha Jumamosi,Jumamosi si mbali utakumbana nae tu hatakama umekimbia Mapinduzi lazima uteseke kila ukimuona Yanga hofu juu juu kipigo lazima tena Cha mbwa mwizi,Simba walijaribu kuandika barua Bodi ya ligi isogeze mchezo mbele wakagomewa hahahahaaaaa huna pa kukimbilia lazima utafunwe tena vizuri tu na historia itawekwa,Kule Aucho,huku Bangala,hapa Mayele,hapo J Moloko,Kule Djuma shabani huku Saido Ntibazonkiza hapa Mukoko,Kule David Bryson,Huku Mwamnyeto hapa Dicksoni Jobu yani ni hatariiiiiiiiii haijawahi kutokea Simba wamejawa na hofu hatariiiiiWapi utopwinyo. Utokambwili fc ..?
Mnakimbia hahahaaaa Simba kageuka kuwa Panya kwa Paka mtakimbia sana mpaka mkome yani GSM ni habari nyingine huyo mwarabu anajua kumwaga hela balaa siyo mbahili kama hiyo Hindi yenu hata msaada haijawahi kutoa kwa jamii nenda kaangalia serikalini misaada aliyotoa kampuni ya GSM ikiwemo kujenga madarasa,Nyumba za walimu,Kuchimba visima,Kujenga zahanati,kusomesha watoto masikini,kujenga nyumba za ibada,Kupeleka watu hija n.k ,Mambo hayo Mo hayawezi hata Kidogo bahili sana hiyo hindiHalafu gsm anataka tuvae logo yake kwa milioni 50 kisa kawahonga tff ndio maana hatushiriki makombe mbuzi kama cecafa na mapinduzi
Jamaa alichokataa ni takwimu ya uongo. Hakuna mtu au taasisi isiyopenda kuongoza katika viwango. Lakini kumdanganya mzazi kuwa upo kumi bora wakati haupo kumi bora ni kujidanganya na wewe mwenyewe pia. Mwandishi aliyepost hiyo rank hakuweka rank ambayo ni official kutoka CAF hivyo kukaa kujisifia kwa takwimu ya uongo ni kujiongopea wenyewe. Simba msimu huu wameshuka ngazi badala ya kupanda ya kupanda ngazi na hata kubakia pale pale alipoishia kashindwa. Halafu mtu anakaa anasapoti takwimu bila hata kufanya upembuzi yakinifuPengine hujaenda shule hali inayochangia kutokujua umuhimu wa takwimu.
Yanga hawapo ktk timu 20 zitakazoshiriki CAF SUPER LEAGUE, Unajua Kwan, takwimu zimekataa. Hana Ubora.
Kuna wakati nilisika Yanga walituma maombi wakakataliwa.Nguvu ya takwimu haiongopi.
Kuna nchi tajiri na zilizoendelea,zinazoendelea na maskini.
Kwanini Sasa hivi Yanga wanasema lazima wachukue ubingwa wa NBC Premier League Kuna maana gani?
Kwanini Yanga anajivuna Ni bingwa wa kihistoria wa ligi yetu? Ni takwimu zinaongea.
Unataka kusema Yanga hawataki kuwa klabu KUBWA (siyo kongwe) Afrika ktk viwango? Bali wabaki kuteseka na Namungo tu.
Enheeee hii ndio point sasa kwa hii miaka 4 haiwezekani sisi kukaa juu yenu naungana nawe japo naumia moyoni huu ndio ukweli ila hyo taarifa si sahihi simba ni ya 17 mmetutupa mbali hadi aibu kusema hapa fatilia mkuu nakuheshimu sana kwenye hili jukwaa la michezo!Hata Simba SC iwe nafasi ya 15 lakini Gongowazi hawawezi kukaa juu yetu
Nyie hangaika na nafasi yenu ya 388 demigod
hoja ungetafuta chanzo cha takwimu zenyewe. Na sijaelewa Ni takwimu zipi zinazokuonyesha Simba kashuka viwango. Ni vigezo gani vinakupa nguvu kitakwimu.Jamaa alichokataa ni takwimu ya uongo. Hakuna mtu au taasisi isiyopenda kuongoza katika viwango. Lakini kumdanganya mzazi kuwa upo kumi bora wakati haupo kumi bora ni kujidanganya na wewe mwenyewe pia. Mwandishi aliyepost hiyo rank hakuweka rank ambayo ni official kutoka CAF hivyo kukaa kujisifia kwa takwimu ya uongo ni kujiongopea wenyewe. Simba msimu huu wameshuka ngazi badala ya kupanda ya kupanda ngazi na hata kubakia pale pale alipoishia kashindwa. Halafu mtu anakaa anasapoti takwimu bila hata kufanya upembuzi yakinifu
Hakika mkuuu, tunapoteza rasilmali za club na taifa bureee kabisaaa.Halafu eti Simba SC inakwenda kucheza na Gongowazi iliyoshika nafasi ya 389
Duniani hakuna usawa..!
Ile nyingine ile mbona siioni?Greetings!
Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo ni kwamba Simba imekuwa timu ya 2 kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwa nyuma ya Mamelodi Sundown ya Africa kusini. Na imekuwa ni club bora ya kwanza Afrika Mashariki na Kati... Maana yake ni kwamba ni rasmi imeipiku Tp Mazembe. Haya wale wa kununa wanune....kama timu yako huioni hapo kubali ukweli timu yako bado sanaaa
View attachment 2038385
Mwaka huu Kaizer wameishia wapi? Point zao zitaongezekaje?Mikia mnahitajika mirembe,hiyo 10 bora ya kuanza raundi ya pili ya caf mliingia pale baada ya kaizer chief kukosa ushiriki wa michuano ya kimataifa baada ya kushika nafasi ya 7 kule psl,kumbukeni caf last year mlitolewa na kaizer chief robo fainali,kwahiyo kwa ujinga wenu mnataka kusema kiviwango mmewazidi hadi kaizer ambao waliwatoa wydad kwenye nusu na kucheza fainali na aly ahl!
Kaizer hawajashiriki michuano ya caf mwaka huu sababu msimu uliopita ligi ya kwao walishika nafasi ya 7,but kutokana na point alizonazo kutokana kucheza fainali iwapo wangefanya vizuri ligi ya kwao au lah wangemfunga ahl aly kwenye fainali angepata nafasi ya caf kama bingwa mtetezi hapo simba wangeanzia hatua ya mwanzoMwaka huu Kaizer wameishia wapi? Point zao zitaongezekaje?
Basi jibu unalo.. maana sisi kwa kuingia tu makundi tumeongeza point..na tumewapa mbeleko nyie mwakani mje mtolewe tena round ya kwanzaKaizer hawajashiriki michuano ya caf mwaka huu sababu msimu uliopita ligi ya kwao walishika nafasi ya 7,but kutokana na point alizonazo kutokana kucheza fainali iwapo wangefanya vizuri ligi ya kwao au lah wangemfunga ahl aly kwenye fainali angepata nafasi ya caf kama bingwa mtetezi hapo simba wangeanzia hatua ya mwanzo
Ubora haupimwi kwa mwechi moja ya jumamosi.Hizo mbwembwe tu ubora wako onyesha Jumamosi,Jumamosi si mbali utakumbana nae tu hatakama umekimbia Mapinduzi lazima uteseke kila ukimuona Yanga hofu juu juu kipigo lazima tena Cha mbwa mwizi,Simba walijaribu kuandika barua Bodi ya ligi isogeze mchezo mbele wakagomewa hahahahaaaaa huna pa kukimbilia lazima utafunwe tena vizuri tu na historia itawekwa,Kule Aucho,huku Bangala,hapa Mayele,hapo J Moloko,Kule Djuma shabani huku Saido Ntibazonkiza hapa Mukoko,Kule David Bryson,Huku Mwamnyeto hapa Dicksoni Jobu yani ni hatariiiiiiiiii haijawahi kutokea Simba wamejawa na hofu hatariiiii