Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

Greetings!
Simba Sports Club ( Wana Lunyasi) wameshika nafasi ya 6 kati ya timu 30 bora barani Africa, kwa mujibu wa list iliyotolewa leo mapema na shirikisho la soka Africa (CAF). Zaidi ya hilo ni kwamba Simba imekuwa timu ya 2 kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara, ikiwa nyuma ya Mamelodi Sundown ya Africa kusini. Na imekuwa ni club bora ya kwanza Afrika Mashariki na Kati... Maana yake ni kwamba ni rasmi imeipiku Tp Mazembe. Haya wale wa kununa wanune....kama timu yako huioni hapo kubali ukweli timu yako bado sanaaa

View attachment 2038385
Endelea kuwadanganya mambumbumbu wenzio
 
tukisema washabiki wa simba ndiyo wajinga na mambumbumbu duniani povu linawatoka, ona sasa ugolo huu na wao wakaamini kabisa kuwa tim yao ni ya 6 kweli ………………………………………...
 
Back
Top Bottom