Simba Sports Club imeshika no 6 ya Club bora Africa

Hii ndio tofauti ya jamii forum na mitandao mengine ya kijamii. Huku kuna watu wanakutuliza kwa hoja zenye uhalisia.
 
Wapi utopwinyo. Utokambwili fc ..?
Hizo mbwembwe tu ubora wako onyesha Jumamosi,Jumamosi si mbali utakumbana nae tu hatakama umekimbia Mapinduzi lazima uteseke kila ukimuona Yanga hofu juu juu kipigo lazima tena Cha mbwa mwizi,Simba walijaribu kuandika barua Bodi ya ligi isogeze mchezo mbele wakagomewa hahahahaaaaa huna pa kukimbilia lazima utafunwe tena vizuri tu na historia itawekwa,Kule Aucho,huku Bangala,hapa Mayele,hapo J Moloko,Kule Djuma shabani huku Saido Ntibazonkiza hapa Mukoko,Kule David Bryson,Huku Mwamnyeto hapa Dicksoni Jobu yani ni hatariiiiiiiiii haijawahi kutokea Simba wamejawa na hofu hatariiiii
 
Halafu gsm anataka tuvae logo yake kwa milioni 50 kisa kawahonga tff ndio maana hatushiriki makombe mbuzi kama cecafa na mapinduzi
Mnakimbia hahahaaaa Simba kageuka kuwa Panya kwa Paka mtakimbia sana mpaka mkome yani GSM ni habari nyingine huyo mwarabu anajua kumwaga hela balaa siyo mbahili kama hiyo Hindi yenu hata msaada haijawahi kutoa kwa jamii nenda kaangalia serikalini misaada aliyotoa kampuni ya GSM ikiwemo kujenga madarasa,Nyumba za walimu,Kuchimba visima,Kujenga zahanati,kusomesha watoto masikini,kujenga nyumba za ibada,Kupeleka watu hija n.k ,Mambo hayo Mo hayawezi hata Kidogo bahili sana hiyo hindi
 
Jamaa alichokataa ni takwimu ya uongo. Hakuna mtu au taasisi isiyopenda kuongoza katika viwango. Lakini kumdanganya mzazi kuwa upo kumi bora wakati haupo kumi bora ni kujidanganya na wewe mwenyewe pia. Mwandishi aliyepost hiyo rank hakuweka rank ambayo ni official kutoka CAF hivyo kukaa kujisifia kwa takwimu ya uongo ni kujiongopea wenyewe. Simba msimu huu wameshuka ngazi badala ya kupanda ya kupanda ngazi na hata kubakia pale pale alipoishia kashindwa. Halafu mtu anakaa anasapoti takwimu bila hata kufanya upembuzi yakinifu
 
Hata Simba SC iwe nafasi ya 15 lakini Gongowazi hawawezi kukaa juu yetu

Nyie hangaika na nafasi yenu ya 388 demigod
Enheeee hii ndio point sasa kwa hii miaka 4 haiwezekani sisi kukaa juu yenu naungana nawe japo naumia moyoni huu ndio ukweli ila hyo taarifa si sahihi simba ni ya 17 mmetutupa mbali hadi aibu kusema hapa fatilia mkuu nakuheshimu sana kwenye hili jukwaa la michezo!
 
hoja ungetafuta chanzo cha takwimu zenyewe. Na sijaelewa Ni takwimu zipi zinazokuonyesha Simba kashuka viwango. Ni vigezo gani vinakupa nguvu kitakwimu.

Takwimu inakuwa ya uongo pale unapothibitisha kupita shaka uongo wake. Na hatimaye ukaweka ukweli wake.
 
Ile nyingine ile mbona siioni?
 
Mikia mnahitajika mirembe,hiyo 10 bora ya kuanza raundi ya pili ya caf mliingia pale baada ya kaizer chief kukosa ushiriki wa michuano ya kimataifa baada ya kushika nafasi ya 7 kule psl,kumbukeni caf last year mlitolewa na kaizer chief robo fainali,kwahiyo kwa ujinga wenu mnataka kusema kiviwango mmewazidi hadi kaizer ambao waliwatoa wydad kwenye nusu na kucheza fainali na aly ahl!
 
Mwaka huu Kaizer wameishia wapi? Point zao zitaongezekaje?
 
Mwaka huu Kaizer wameishia wapi? Point zao zitaongezekaje?
Kaizer hawajashiriki michuano ya caf mwaka huu sababu msimu uliopita ligi ya kwao walishika nafasi ya 7,but kutokana na point alizonazo kutokana kucheza fainali iwapo wangefanya vizuri ligi ya kwao au lah wangemfunga ahl aly kwenye fainali angepata nafasi ya caf kama bingwa mtetezi hapo simba wangeanzia hatua ya mwanzo
 
Basi jibu unalo.. maana sisi kwa kuingia tu makundi tumeongeza point..na tumewapa mbeleko nyie mwakani mje mtolewe tena round ya kwanza
 
B
Ubora haupimwi kwa mwechi moja ya jumamosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…