Tetesi: Simba Sports Club kuhamia ligi ya Zanzibar mwakani: Move imeanza

kasanga70

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
222
Reaction score
515
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar.

Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na hakuna anaeshuhulika nao kwa mana ya kudhibiti takataka zinazoendelea. Kikao cha usiku wa manane kimependekeza kuwa msimu ujao ni Zanzibar na kinaandaa taratibu za kualika timu zifuatazo katika ligi hiyo ya Zanzibar 1. Al hilal Omduman, Al merlek, Gormahia, Tasker, APR na Vital O ya Burundi.

Dhumuni la uamuzi huu ni kutimiza ndoto za kimashindano pasipo uswahili, kuchanganya mpira na siasa na maslahi ya wahuni wachache.

Nimekaa paleee mtaikumbuka post hii
 
Sajilini wachezaji wa kueleweka acheni ujanja ujanja. Kwa hizi sajili za akina Mutale na Ahua, bado Yanga ataendelea kutoa kipigo tena kwa muda mrefu.
 
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar.

Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na hakuna anaeshuhulika nao kwa mana ya kudhibiti takataka zinazoendelea. Kikao cha usiku wa manane kimependekeza kuwa msimu ujao ni Zanzibar na kinaandaa taratibu za kualika timu zifuatazo katika ligi hiyo ya Zanzibar 1. Al hilal Omduman, Al merlek, Gormahia, Tasker, APR na Vital O ya Burundi.

Dhumuni la uamuzi huu ni kutimiza ndoto za kimashindano pasipo uswahili, kuchanganya mpira na siasa na maslahi ya wahuni wachache.

Nimekaa paleee mtaikumbuka post hii
Kabla hamjahama tukipige mechi moja ya kuagana na sisi MABINGWA WA KIHISTORIA, WAUME HALALI WA MAKOLO. Dar es salaam Young Africans
 
Mbona pamoja na dhuluma ya timu ya Azam,Dodoma jiji, na juzi juz kubebwa Kwa coast union wala hawajawaza kwenda huko?
 
Simba ingekuwa na viongozi wenye balls ingetishia kuhamia Rwanda. Kagame angefurahi sana kupata timu ya ushindani kama Simba. Ila kiongozi atakayetamka kufanya hivyo awe amejiandaa maana ataona cha mtema kuni.

Labda hilo linakuja maana Kagame ameshajenga uwanja unaofanana na ule wa Mkapa hata kwa muonekano.
 
Wakitufuata sasa

Binafsi nmesikitishwa sana na uongozi wa club yangu yani tumefungwa badala ya kukaa kuona tunakosea wapi ndo kwanza tunatapatapa tunalalamika kwelii?
Maana ya UBAYA UBWELA ni ninii
 
Simba ingekuwa na viongozi wenye balls ingetishia kuhamia Rwanda. Kagame angefurahi sana kupata timu ya ushindani kama Simba. Ila kiongozi atakayetamka kufanya hivyo awe amejiandaa maana ataona cha mtema kuni.

Labda hilo linakuja maana Kagame ameshajenga uwanja unaofanana na ule wa Mkapa hata kwa muonekano.
Sababu za kuhama ni zipi?
 
Ni kweli kwamba sikubaliani na baadhi ya vitu kwenye ligi yetu lakini kufikiria kuhamisha timu ni uboya.
Viongozi wa simba acheni vitisho vya kishamba.
Tupambane hapa hapa mpaka tufikie malengo yetu.
 
Za ndani saana, utaribu wa mageuzi makubwa ya kimpira utaanza baada ya dirisha dogo January. Club kubwa barani afrika inameanza hatua mahsusi za kuweka base kubwa ya kimpira visiwani Zanzibar.

Kandarasi hii na maamuzi haya yanakuja baada ya kubaini kuwa kuna wahuni wanaharibu mpira bara na hakuna anaeshuhulika nao kwa mana ya kudhibiti takataka zinazoendelea. Kikao cha usiku wa manane kimependekeza kuwa msimu ujao ni Zanzibar na kinaandaa taratibu za kualika timu zifuatazo katika ligi hiyo ya Zanzibar 1. Al hilal Omduman, Al merlek, Gormahia, Tasker, APR na Vital O ya Burundi.

Dhumuni la uamuzi huu ni kutimiza ndoto za kimashindano pasipo uswahili, kuchanganya mpira na siasa na maslahi ya wahuni wachache.

Nimekaa paleee mtaikumbuka post hii
Nasubiri mtawala akitokea Kasuru Kigoma,
 
Mnakumbuka mliwahi kusema kama wanasusa Susa! Miaka hio amejipata kwahio kutesa kwa zamu nikuvumilia tuu, ndio mpira
 
Back
Top Bottom