TIFU TIFU ya MIKIA FC watupu.Mkuu, Umesikia ya Magori?
Wameandika barua FIFA iwaruhusu kusajili wachezaji wapya watumike hadi ligi ya ndani.
Dirisha limefungwa juzi tu lakini wao waruhusiwe kupindisha sheria za TFF. Huyo Bwalya tayari kesha cheza CAF lakini aruhusiwe tu kinyume na kanuni za CAF.
utateseka sana kwa mnyamaLabda Robo ya Mbege!!
Acha kuteseka hakuna team isiyofungikaha ha ha zamani hatua ya makundi ilikuwa kama robo fainali.. washindi wawili wa kila group wanaenda nusu fainali...
ila caf ikaona iongeze timu. hatua ya makundi sasa hivi ni kama 16 round.. ambapo ukipita unaenda robo..
so kwa hii stage simba hata wacheze 30 wote hawawezi kufika nusu fainali.. sembuse kufika robo.. maana hata wakipona hii stage.. hatua inayofata ni vigogo tupu kina enyimba, al hally, esperence, mamelodi soundown, es setif, raja casablanca, canon yaunde, mamelodi sundown, kaizer chiefa, mazembe, na wengineo wengi sijawataja ndio level zao
Uzoefu wa kuandika barua FIFA wanao sana japo hawapati majibu. Rage anawajua vizuri jamaa zake.TIFU TIFU ya MIKIA FC watupu.
Mazuri yafuate sheria na kanuni. Hakuna team special Tanzania zaidi ya Mabingwa wa kihistoria.Sijawahi ona mashabiki wenye roho mbaya kama wa Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Simba kuombewa mazuri wao wanaumia
Tofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi manne na kufanya idadi ya timu (16) zilizofauru kuingia hatua ya makundi kuwania kombe la club bingwa Afrika iliyomalizika wiki iliyopita. Club ya Simba ina nafasi ya kunyakua "mihela" zaidi endapo itafauru na kuingia raundi ya robo fainali ambapo timu nane (8) mbili kutoka kila kundi zitasonga hatua ya robo fainali na kujinyakulia kitika cha pesa kiasi cha fedha ya kitanzania Tzs.bilioni 1.4 na kama club ikifika hatua ya nusu fainali dau linaongezeka mpaka bilioni za kitanzania 1.9.na endapo timu itafanikiwa kutwaa ubingwa itavuna bilioni za kitanzani 5.6 na mshidi wa pili atavuna bilioni 2.8. Kazi kwao viongozi na wachezaji wa simba...waswahili usema bahati haiji mara mbili....kila kitu kinawezekana..
Waulize mikiaMotokeo vipi jamani?
Huyu yuko wapi?Labda Robo ya Mbege!!
zilizofauru = zilizofauluTofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi manne na kufanya idadi ya timu (16) zilizofauru kuingia hatua ya makundi kuwania kombe la club bingwa Afrika iliyomalizika wiki iliyopita. Club ya Simba ina nafasi ya kunyakua "mihela" zaidi endapo itafauru na kuingia raundi ya robo fainali ambapo timu nane (8) mbili kutoka kila kundi zitasonga hatua ya robo fainali na kujinyakulia kitika cha pesa kiasi cha fedha ya kitanzania Tzs.bilioni 1.4 na kama club ikifika hatua ya nusu fainali dau linaongezeka mpaka bilioni za kitanzania 1.9.na endapo timu itafanikiwa kutwaa ubingwa itavuna bilioni za kitanzani 5.6 na mshidi wa pili atavuna bilioni 2.8. Kazi kwao viongozi na wachezaji wa simba...waswahili usema bahati haiji mara mbili....kila kitu kinawezekana..
Kwani umembiwa hapa tupo darasani!...sentensi yako yenyewe imekaa kidarasa la nne.. hujui hata kutunga sentensizilizofauru = zilizofaulu
itafauru = itafaulu
Ni shule au wewe?
Hatimaye tumefika hiyo robo ya MbegeLabda Robo ya Mbege!!
we mpuuzi nini es setif msimu ulipita katolewa semi final na al ahly kwa mbinde .. unasema sio kigogo... na mwaka 2014 ndie bingwa wa caf champions league.. na kila msimu hatoki mapema.. unasema 2008.. unajua enyimba hata msimu ulipita mwaka huu mashindano ya caf ametolewa hatua gani
na unajua raja casablanca msimu ulipita nae mwaka huu katolewa hatua gani?
ligi za caf zina timu zake.. ambapo katika hizo timu simba haipo.. nakupa facts
mfano tukiitaja wydad casablanca huwezi itaja simba kwamba wako level sawa
Sasa Simba ipo Robo unadhani imestahili ukizingatia wenye mashindano uliowataja?
Una wivu wewerobo fainali hata horoya imeingia.. huwez ukasema ni kigogo cha soko.. soka yupo robo fainali kibahati.. kama korea alivyofika nusu fainali kombe la dunia.. huwez sema ni kigogo..
lyon anafika nusu fainali za uefa sana tu huwez kusema yupo level moja na bayern, madrid, barcelona etc. .
simba ni timu ndogo sana kwa hizo nilizozitaja..
Kwani Leicester city alipochukua ubingwa ENGLAND alikuwa kigogo?robo fainali hata horoya imeingia.. huwez ukasema ni kigogo cha soko.. soka yupo robo fainali kibahati.. kama korea alivyofika nusu fainali kombe la dunia.. huwez sema ni kigogo..
lyon anafika nusu fainali za uefa sana tu huwez kusema yupo level moja na bayern, madrid, barcelona etc. .
simba ni timu ndogo sana kwa hizo nilizozitaja..
robo fainali hata horoya imeingia.. huwez ukasema ni kigogo cha soko.. soka yupo robo fainali kibahati.. kama korea alivyofika nusu fainali kombe la dunia.. huwez sema ni kigogo..
lyon anafika nusu fainali za uefa sana tu huwez kusema yupo level moja na bayern, madrid, barcelona etc. .
simba ni timu ndogo sana kwa hizo nilizozitaja..