ha ha ha zamani hatua ya makundi ilikuwa kama robo fainali.. washindi wawili wa kila group wanaenda nusu fainali...
ila caf ikaona iongeze timu. hatua ya makundi sasa hivi ni kama 16 round.. ambapo ukipita unaenda robo..
so kwa hii stage simba hata wacheze 30 wote hawawezi kufika nusu fainali.. sembuse kufika robo.. maana hata wakipona hii stage.. hatua inayofata ni vigogo tupu kina enyimba, al hally, esperence, mamelodi soundown, es setif, raja casablanca, canon yaunde, mamelodi sundown, kaizer chiefa, mazembe, na wengineo wengi sijawataja ndio level zao