SIMBA SPORTS CLUB KUVUNA Bilioni 5.6 ikitwaa kombe Club bingwa Afrika

Mkuu, Umesikia ya Magori?
Wameandika barua FIFA iwaruhusu kusajili wachezaji wapya watumike hadi ligi ya ndani.
Dirisha limefungwa juzi tu lakini wao waruhusiwe kupindisha sheria za TFF. Huyo Bwalya tayari kesha cheza CAF lakini aruhusiwe tu kinyume na kanuni za CAF.
TIFU TIFU ya MIKIA FC watupu.
 
ha ha ha zamani hatua ya makundi ilikuwa kama robo fainali.. washindi wawili wa kila group wanaenda nusu fainali...

ila caf ikaona iongeze timu. hatua ya makundi sasa hivi ni kama 16 round.. ambapo ukipita unaenda robo..

so kwa hii stage simba hata wacheze 30 wote hawawezi kufika nusu fainali.. sembuse kufika robo.. maana hata wakipona hii stage.. hatua inayofata ni vigogo tupu kina enyimba, al hally, esperence, mamelodi soundown, es setif, raja casablanca, canon yaunde, mamelodi sundown, kaizer chiefa, mazembe, na wengineo wengi sijawataja ndio level zao
Acha kuteseka hakuna team isiyofungika
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sijawahi ona mashabiki wenye roho mbaya kama wa Yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani Simba kuombewa mazuri wao wanaumia
Mazuri yafuate sheria na kanuni. Hakuna team special Tanzania zaidi ya Mabingwa wa kihistoria.
Dirisha la usajili ligi ya ndani likifungwa, that is it!
CAF inaruhusu lakini kama hajashiriki mashindanoni mwaka huo. Kipi kigumu hapo Kiongozi? Hakuna roho mbaya zaidi ya kuzingatia kanuni na sheria.
 
If wishes were horses then all simba fans would build castles in the air and if every Simba fans wish came true then all simba fans led by Manara would ride hyenas !
 
Watu wanafungwa na mashujaa huo ubingwa watausikia kwa mbali sana.
Mashujaaaaaaaaa
 
Tofauti na kujihakikishia kitita cha kiasi cha fedha za kitanzania Bilioni 1.2 watakazopata mshindi wa tatu (3) na wa nne (4)kila mmojawapo kwenye makundi ya timu nne nne (4) zitakazounda makundi manne na kufanya idadi ya timu (16) zilizofauru kuingia hatua ya makundi kuwania kombe la club bingwa Afrika iliyomalizika wiki iliyopita. Club ya Simba ina nafasi ya kunyakua "mihela" zaidi endapo itafauru na kuingia raundi ya robo fainali ambapo timu nane (8) mbili kutoka kila kundi zitasonga hatua ya robo fainali na kujinyakulia kitika cha pesa kiasi cha fedha ya kitanzania Tzs.bilioni 1.4 na kama club ikifika hatua ya nusu fainali dau linaongezeka mpaka bilioni za kitanzania 1.9.na endapo timu itafanikiwa kutwaa ubingwa itavuna bilioni za kitanzani 5.6 na mshidi wa pili atavuna bilioni 2.8. Kazi kwao viongozi na wachezaji wa simba...waswahili usema bahati haiji mara mbili....kila kitu kinawezekana..
zilizofauru = zilizofaulu
itafauru = itafaulu
 
Ni shule au wewe?
 
wakati Simba ikipanga mkakati wa kuingia nusu faili ya klabu bingwa afrika wale wa kimataifa feki wanahaha kuingia nusu fainali ya kombe la shirikisho halafu wanataka kushindana na sisi
 
we mpuuzi nini es setif msimu ulipita katolewa semi final na al ahly kwa mbinde .. unasema sio kigogo... na mwaka 2014 ndie bingwa wa caf champions league.. na kila msimu hatoki mapema.. unasema 2008.. unajua enyimba hata msimu ulipita mwaka huu mashindano ya caf ametolewa hatua gani

na unajua raja casablanca msimu ulipita nae mwaka huu katolewa hatua gani?
ligi za caf zina timu zake.. ambapo katika hizo timu simba haipo.. nakupa facts

mfano tukiitaja wydad casablanca huwezi itaja simba kwamba wako level sawa

Sasa Simba ipo Robo unadhani imestahili ukizingatia wenye mashindano uliowataja?
 
robo fainali hata horoya imeingia.. huwez ukasema ni kigogo cha soko.. soka yupo robo fainali kibahati.. kama korea alivyofika nusu fainali kombe la dunia.. huwez sema ni kigogo..

lyon anafika nusu fainali za uefa sana tu huwez kusema yupo level moja na bayern, madrid, barcelona etc. .

simba ni timu ndogo sana kwa hizo nilizozitaja..
 
Una wivu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
robo fainali hata horoya imeingia.. huwez ukasema ni kigogo cha soko.. soka yupo robo fainali kibahati.. kama korea alivyofika nusu fainali kombe la dunia.. huwez sema ni kigogo..

lyon anafika nusu fainali za uefa sana tu huwez kusema yupo level moja na bayern, madrid, barcelona etc. .

simba ni timu ndogo sana kwa hizo nilizozitaja..
Kwani Leicester city alipochukua ubingwa ENGLAND alikuwa kigogo?
Vipi Fc Porto ya Mourinho ilipochukua ligi ya mabingwa Ulaya 2013/2014 nayo ilikuwa kigogo na bado ni kigogo sivyo?

Hivi Real Madrid, Barcelona na Bayern wao huchukua klabu bingwa kila mwaka kwa kuwa wao ni vigogo?
 
Lyon ya zamunda au ya Aulas
robo fainali hata horoya imeingia.. huwez ukasema ni kigogo cha soko.. soka yupo robo fainali kibahati.. kama korea alivyofika nusu fainali kombe la dunia.. huwez sema ni kigogo..

lyon anafika nusu fainali za uefa sana tu huwez kusema yupo level moja na bayern, madrid, barcelona etc. .

simba ni timu ndogo sana kwa hizo nilizozitaja..

kote hakufai
 
Back
Top Bottom